Lema maji ya shingo Arusha

Lema maji ya shingo Arusha

Huyu lema ni shida, hana LA maana analowatendea wana arusha zaidi yakuwachochea kushiriki maandano na migomo isiyo na tija, ni MTU wa sifa za kijingajinga sana, hata huko bungeni huwa sioni LA maana analoongea. Wana arusha msikubali water kufanywa wanywa viroba, next time mbadilishe mwakilishi, sio lema, kidumu Chadema.
 
Mungu amsaidie sana lema ashinde jimbo hilo mtetezi wa wanyonye.
 
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.

wakifanya wapinzani inawauma eeee!!!
 
Ya Arusha waachie wana Arusha huku hata Mpige kazi mpaka mbinuke kamwe ccm hawapati kitu..tutaunga mkono juhud zote za maendeleo lakin c kuichagua ccm,
 
Back
Top Bottom