Halafu wakipigwa chini akapewa Kingwendu analeta impact gani kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja,anachagiza nini ktk maendeleo ya wananchi kuhusu biashara zao za Kitalii hasa ikizingatiwa Arusha ilipo kwa Jiografia yake,hujiulizi mara mbili mbili miaka yoote Jiji liko kwenye mihemko,vurugu,maandamano na karaha zote,mbona maandamano hayo hayaendi kufanyika Hai au Moshi Mjini,Singida Mashariki?Kukiwa na vurugu nani atakubali kuacha biashara yake wazi kama si kuifunga kwa kuogopa Vibaka na hasara ya uharibifu wa mali?biashara yenyewe Mtaji umekopwa toka FINCA,PRIDE,BAY PORT nk,Akili za kuambiwa changanya na zako baba!