MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Hapo umesema "kifungua mimba", hivi bibi Mariam mama wa Yesu alikuwa na watoto wengine? Na kitinda mimba alikuwa nani?
.....Lema ndo Mbunge wa Arusha kachaguliwa na wananchi wa Arusha wewe unawashwa na nini ????
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
Ukisoma BIBLIA sio wote waliotajwa! ila Mariam aliendelea kuzaa tu! Maana BIBLIA ina tabia ya kutaja wale tu ambayo iko na interest nao!
chizi..
Jaribu basi angalau kufanya editing ya kile unachokipost...Nasukuru kwa kunipa taarifa nilikua sijui kabisa kama ni mbuge wa ubungo
Unakumbuka BABU alisema kuwa akiingia madarakani atatengeneza katiba ndani ya siku 100, halafu atauza cement mfuko wa kg 50 shs 5000, pia akasema kuwa wenye nyumba za nyasi wote atawapatia bati! Mzee mwongo yule!
...necessary noise for redemption of tanganyika,big up kamanda lema....
....Mkuu mbona umekimbia swali achana na mambo ya dini ...kutumia udini katika siasa ni utumwa zaidi ya utwana!!!!
Hebu nieleweshe, huwa zikoje na ni kamchezo gani kachafu mnakofanyaga kwenye siasa za R chuga?
.....msalani upo mkuu ?
usihangaike na robot la ccm .
Basi fanya mwenyewe u housegirl !
....g lema ni rais wa arusha anayebisha aje kupiga kura !!!
yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! Sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. Wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
nipo faza, sema...