Binti acha kushoboka, andika vizuri basi! Sio "nizamu" sema Nidhamu, mitoto iliokuwa mijinga shuleni utaijua hata katika kuandika na kuongea, we ulikuwa unakula sana mipipi ya vijiti na kulialia kutwa shuleni.
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
wewe mpuuzi sana.inaonekana umekosa malezi ya baba na mama.wewe kwa akili yako uliona uamuzi alojchukulia vuai wa kusumerize mapendekezo ya wachache ni sahihi?
Kuwa na adabu we mlokole feki, hata kama nimezaliwa nyumba ya wageni mi sio wa kwanza, soma biblia utaona siku mama wa Yesu anaingia mjini, alikuta nyumba za wageni zimejaa akamzalia kwenye holi la ng'ombe.