Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana.
Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.
Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetu

IMG_1054.JPG
jee hakuna mkono wa watani? Tumezoeakuwa wakubwa huumwa kwa kutendewa na...........
 
Politics,do anything to catch people's attention
 
Namtakia nafuu ya haraka. Ila sijaelewa ni kwa nini walimuwekea dripu mara moja. Was he dehydrated?
 
Hiyo ni malaria na huyo mla mirungi, ilikuwa imejificha. Tunamuombea apone haraka.

We mwanamke wewe!! Huishi bila kutembea na mabom kiunoni ya kuwaangamiza wasio na hatia, Alkaida at work :A S embarassed:
 
Drip 2 alizokwishapata hakika hatatorudia nyingine kwa mamlaka ya Mwokozi aliye hai na mwenye kutangaza MWISHO kabla ya MWANZO! Hakuna Apollo wala India!

Huyo Mwokozi hakuwepo awali kabla ya kuwekewa drip?
 
Tunamuombea apone haraka!
Amen Rejao....kuna watu hapa wanafikiri kuwa na itikadi tofauti ni uadui, kiukweli tuna tofautiana kiitikadi but kamwe hatuombeani mabaya... Barikiwa.
 
Huyo Mwokozi hakuwepo awali kabla ya kuwekewa drip?
Gaijin jisaidie nami nitakusaidia, huezi kuacha kujihudumia afu utegemee muujiza...dawa na maombi lazima viende pamoja manake vinategemeana.
 
Pole sana Lema, maradhi ni sehemu ya mwanadamu, Mungu atakukujalia utapona..
 
Pole Godbess, Mungu yuko upande wetu wala si upande wa adui..
Unachosimamia ni haki........na daima ukweli utasimama!
 
Gaijin jisaidie nami nitakusaidia, huezi kuacha kujihudumia afu utegemee muujiza...dawa na maombi lazima viende pamoja manake vinategemeana.

Kwa hiyo unachosema ni kuwa Mungu hatamponya bila ya dawa, maombi pekee hayafanyi kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom