Hujui hata maana ya sera, kama nyie ndio type ya watumwa wa Msekwa basi ana kazi badala ya kumsaidia mnafanya CCM izidi kuchukiwa.Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku

wasisahau kufika wilaya ya sikonge kwa sikonge memba wa jf
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.[/QUOTE
kuna thread ina cv yake itafute'
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
Ni aibu kubwa kwa chama kinachojidai kuwa kina hazina ya wasomi kuwa na mtu kama lema. kaka unawaomba cv unadhani watakupatia? siyo cv yakutizamika.
endelea na sera mfu lema anasongambele tunamuamini sana , kauli hiyo iliwakera ccm milioni tana laki siyo watanzania milioni 35 waliyo salia wote tuliipokea kauli ile na tukaikubali kwakuwa ndiyo dawa pekee ya kuwaadabisha akina makinda wasichakachue kanuni
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
Kama taifa tunahitaji akina Lema wengi!
Mkuu upo? Ulikuwa korokoroni nini? Karibu
wasisahau kufika wilaya ya sikonge kwa sikonge memba wa jf
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
big up Lema!
Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.