hii imekaa vizuri,na haapa inaonyesha nani yupo karibu na wananchibig up Lema!
Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA
Huna haja kumjua tunaomjua tunatosha wewe omba cv ya Makamba kama una haja ya kusoma cv za watu. Kwa msaada tu soma cv yake hapani nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
Hili nalo neno hicho kibabu cha CCM kazi kukenua meno tu hakina la maana huku Tanganyika.big up Lema!
Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA
Hii ilikuwa kwa wanafunzi wa Dar sijui ingekuwaje wakiulizwa wanafunzi wa ARUSHA au wale wa YUSUF MAKAMBA Secondary Kisukuru DSM?hii imekaa vizuri,na haapa inaonyesha nani yupo karibu na wananchi
kaulize vijiweni kote wanamjua kwani tunamhitaji sanani nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
utamjua cku ukivua hilo GAMBA. 2wekee CV yako kwnza ili 2one na wewe ni nani ktk maslahi ya Taifa.ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku