Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

Kwa kuwa Lema alikuwa hapendi shule ndio maana haoni umuhimu wa hata hao 118 kuendelea kuhudhuria shuleni.Ustawi wa jamii fuatilieni usalama wa hawa watoto kuwa katika ofisi ya Lema.
Kwani Lema anatabia za kama Makamba mkubwa ya kuwa-do madent...
 
Pole sana watoto wetu. Shule nyingi za kata huku vijijini zina matatizo kibao. Jamaa wadau tuunganishe nguvu tusaidie wadogo zetu.
Mungu awabariki, karibu kijijini
 
km 13 unatembea kwenda shule????
Mwalimu anafika saa sita na kuondoka saa saba na nusu????
Mwanafunzi anafika saa tano na kuondoka saa nane????
 
Nashauri Lema aonyeshe mfano kutafuta eneo la karibu waanze ujenzi wa shule wananchi wa arusha wakitoa 1000 kwa wananchi 70000 mh atakua na milioni 70 zinatosha kabisa kuanza ujenzi + yeye akiongezea na kupata na wadau wengine shule itajengwa kwa haraka sana.

Kinadharia inawezekana, lakini Magamba wakiona tu anafanikiwa kwenye zoezi hilo, wanakwenda kuwapiga biti wachangiaji, kama walivyomfanyia Mrema kipindi kile akiwa Mbunge wa Jimbo la kama si Ubungo basi ni Temeke kuhusu ujenzi wa [SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4]barabara walivyowazuia Wananchi waliokuwa wanachangia wasichangie vinginevyo mpaka kwanza waonyeshe risiti zao walizolipia TRA.

Hii ndio CCM ya Nape Jeetu Patel.
[/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE]
 
Kama mbunge ulikuwa wapi ck zote badala ya kuhamasisha wananchi wako wakaboresha mazingira ya shule kuliko kuwahamisha.....am not sure Kama unajua impact yake baadaye.......ahhhhhh kumbe alisoma Kile chuo

Alikuwa anahangaika na kesi waliyo fungua makupe maccm
 
Nimesoma habari hii na nimeumia sana kwani nimekuwa nikifika shuleni pale mara kadhaa na nilichokuwa nakiona pale ni maumivu ya hali ya juu na nilikuwa najiuliza hivi serekali inaelewa inachofanya kweli?

Walimu wenyewe walikuwa wamekata tamaa kwa kiwango cha juu shule iko mbali na wakati wa mvua ndio usiseme wale watoto walikuwa wanateseka sana bora hata sasa barabara imeanza kujengwa mpaka pale korona kitu amabacho kwa kiwango kidogo kitaweza kuwasaidia wanafunzi kwakuwa daladala sasa zitaweza kusogea kule chini na kufikika kipindi chote cha mwaka, lakini ni nani asiyejua makondakta wetu jinsi wasivyowapenda wanafunzi?

Yaani ile sio shule kabisa bora ilivyofungwa na kuwekwe mikakati ya kuianzisha upya. Baadhi ya watu wanaweza kuongea huku kwenye mitandao na kuukashifu uamuzi wa Lema kufanya hivyo lakini kama tungeliiona hali halisi basi wote tungekubali kuwa shule ile ilistahili kufunwa au kutafutiwa suluhisho lingine kwa haraka kwaajili ya hatima ya watoto wanaosoma pale. ni kwamba idadi kubwa ya wanfunzi waliokuwa wanasoma pale ni hakika wazazi wao hawakuwa na uwezo na hawana suluhisho lingine ni swala la mtoto kaamka asubuhi kaondoka pale nyumbani lakini kwamba ameenda shule ni uongo.

Mwanzo mzuri ila Mh. Lema usiliachie njiani hakikisha linafika mwisho na wanafunzi wanaendela na masomo na hatimaye shule ile inarejezwa katika kiwango kinachotakiwa.
 
Kama mbunge ulikuwa wapi ck zote badala ya kuhamasisha wananchi wako wakaboresha mazingira ya shule kuliko kuwahamisha.....am not sure Kama unajua impact yake baadaye.......ahhhhhh kumbe alisoma Kile chuo

Yaani wewe hujui kuwa nyie SSM mlifanya mbinu za kumsimamisha? Sasa kamanda amerudi na cheche ndiyo hizo anatema. Ni kiboko huyu. Kila shule AR mjini itachukuwa wanafunzi watano na wataisha na ile shule anafanyia mpango iwe boarding school!! CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! Upo hapo mkuu?
 
km 13 unatembea kwenda shule????
Mwalimu anafika saa sita na kuondoka saa saba na nusu????
Mwanafunzi anafika saa tano na kuondoka saa nane????

Mkuu ukiambiwa unaweza usiamini lakini mimi sikuambiwa nilifika shuleni yaani pamoja na walimu kujulishwa kuwa siku ya jana wangekuja na afisa elimu, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji, mbunge,diwani, waandishi wa habari na wazazi makamu wa shule alifika saa tano na 15 wakati aliambiwa wangeni hao wangefika saa mbili asubuhi..
 
Mwanzo mzuri ila Mh. Lema usiliachie njiani hakikisha linafika mwisho na wanafunzi wanaendela na masomo na hatimaye shule ile inarejezwa katika kiwango kinachotakiwa.

Mkuu kitalolo ile shule kwa mzazi anaejua kusoma hata a,e,i,o,u hawezi mpeleka mtoto wake pale...
 
Mkuu kitalolo ile shule kwa mzazi anaejua kusoma hata a,e,i,o,u hawezi mpeleka mtoto wake pale...

Naifahamu hiyo shule in and out na yule mwalimu mkuu wake naye anachangia sana hali ile nimefanya naye kazi naelewa ninachokisema. hii michango yote watoto wanayoitiswa pale imeishia tumboni kwake. nitakutana na Lema nitamweleza baadhi ya mambo ambayo tunaweza kuyafanya kwa pamoja ili kuona mustakabali wa ile shule. tueche story mabadiliko Tanzania yanaanza na mimi
 
Last edited by a moderator:
Kinadharia inawezekana, lakini Magamba wakiona tu anafanikiwa kwenye zoezi hilo, wanakwenda kuwapiga biti wachangiaji, kama walivyomfanyia Mrema kipindi kile akiwa Mbunge wa Jimbo la kama si Ubungo basi ni Temeke kuhusu ujenzi wa [SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4][SIZE=4]barabara walivyowazuia Wananchi waliokuwa wanachangia wasichangie vinginevyo mpaka kwanza waonyeshe risiti zao walizolipia TRA.

Hii ndio CCM ya Nape Jeetu Patel.
[/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE]

Kuna namna ya kuwalazimisha kufanya wajibu wao, kwanza Lema atembelee shule zote akikuta nyingine ina uozo kama huo afanye hivyo huwezi ukawa na kituo cha kukulia wewe ukakiita shule...zikifungwa tatu hivyi watajua namna ya kufanyakazi na kuacha sisa kwenye maisha ya watanzania...pata picha mtoto ana daftari la miaka miwili hata katikati halijafika tena kwa somo kama histori....
 
Naifahamu hiyo shule in and out na yule mwalimu mkuu wake naye anachangia sana hali ile nimefanya naye kazi naelewa ninachokisema. hii michango yote watoto wanayoitiswa pale imeishia tumboni kwake. nitakutana na Lema nitamweleza baadhi ya mambo ambayo tunaweza kuyafanya kwa pamoja ili kuona mustakabali wa ile shule. tueche story mabadiliko Tanzania yanaanza na mimi
Jana hakuonekana mkuu wa shule bali alikuwepo kaimu na katika maelezo yake alikuwa anajichanganya sana mpaka watoto wakawa wanamzomea wakimwita muongo na inavyoelekea yeye pamoja na afisa elimu huwa wanagawana hiyo michango mfano kwenye swala la chakula na swala la sare eti anasema tuna subiri wewe wengi hatuwezi kufungua shule leo then kesho yake tukawa sare wanafunzi wakapiga kelele wakisema mbona sisi wa kidato cha pili na cha tatu mpaka leo hujatugawia hizo sare akakosa jibu, alipobanwa swala la vitamburisho na pesa ya chakula akasema ameilipa mahakamani..hahahahah
 
km 13 unatembea kwenda shule????
Mwalimu anafika saa sita na kuondoka saa saba na nusu????
Mwanafunzi anafika saa tano na kuondoka saa nane????
 
lema na siasa zake za arusha ni vichekesho tu.
da! Kumbe hiki inachekesha eeeau inasikitishaaa wacheni kuweka siasa hata kwenye mambo ya msingi kama elimu jamanihii sio siasa ni ubinadamu
 
Kwa magamba kweli ni vichekesho,ninyi si mnajua ufisadi tu si umesikia aliyekuwa na tsh. 200,000 ndy alihama

asiyenacho ametelekezwa kwenye shule ambayo watoto wanatembea 13km bila kusoma hilo unaona la maana!..

To hell Magamba!..

Lema na siasa zake za Arusha ni vichekesho tu.
 
Sidhani Kama anawasaidia wanafunzi wake na mda ndo unayoyoma........acha azalishe mambumbumbu......huyu jamaa sijuwi Kama anatafakari Kabla hajatenda.....ohh alisoma Kile chuo

Sijui unafikiria kwa kutumia nini? mbona mbona maelezo yanajitosheleza. Mletahabari ameweka wazi kusudio la Lema kuwatafutia wanafunzi shule nyingine, huo umbumbu wa wanafunzi utatokea vipi na wakati wanatafutiwa shule?

tatizo lako chuki umeitanguliza mbele, naona umesoma heading tu na ukaamua kujibu kable ya kusoma habari yote. wewe ni walewale wa masaburi.
 
Back
Top Bottom