Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

Unapokuwa na boga huwezi acha kusikia haya. Hata wewe mleta uzi upo sawa na Lema ametoa wapi mamlaka ya kusitisha masomo ya wanafunzi wakati hiyo siyo mamlaka yaje?
 
Tatizo unajibu kiCCM mana wote mna tatizo la wassiraphobiasis au napephobiasis kama si mwiguluphobiasis. Laiti ungejua shida wanayopata wanafunzi kwenye hizi shule za kata. Kwenye makaratasi na takwimu ziko karibu sana na zinafikika, lakini kiuhalisia duh... Muda utaaamua..... endeleeni kucheza ngoma za chadema!!
Sidhani Kama anawasaidia wanafunzi wake na mda ndo unayoyoma........acha azalishe mambumbumbu......huyu jamaa sijuwi Kama anatafakari Kabla hajatenda.....ohh alisoma Kile chuo
 
Basi wapeleke nyumbani kwako uwalee Kama unawaonea huruma.....hizi ndizo impact za maandamano hakuna mda wa kufanya kazi wabunge wenzake ahhh swafiiiiiiiiiiiiii
magamba ndivyo mlivyo ndani ya mioyo yenu,kutojali maendeleo ya wenzenu,amjali kabisa uboreshaji wa mashule. chadema tutahakikisha shule hiyo inakuwa bording. alafu magamba wanashangaa kwa nini chadema inapendwa
 
Tatizo unajibu kiCCM mana wote mna tatizo la wassiraphobiasis au napephobiasis kama si mwiguluphobiasis. Laiti ungejua shida wanayopata wanafunzi kwenye hizi shule za kata. Kwenye makaratasi na takwimu ziko karibu sana na zinafikika, lakini kiuhalisia duh... Muda utaaamua..... endeleeni kucheza ngoma za chadema!!
wanachojali magamba ni bora ilimu sio elimu bora,kama wanachadema tutahakikisha shule inaboresha na watoto wetu wapate elimu bora,tofauti na magamba.ili Lema aendelee kuwa Nyerere wa Arusha
 
Unapokuwa na boga huwezi acha kusikia haya. Hata wewe mleta uzi upo sawa na Lema ametoa wapi mamlaka ya kusitisha masomo ya wanafunzi wakati hiyo siyo mamlaka yaje?
kwa magamba ndio sio mamlaka yake,lakini kwa chadema lazima tuakikishe watoto wanasoma katika mazingira bora na wanapata elimu bora sio bora elimu
 
Kama mbunge ulikuwa wapi ck zote badala ya kuhamasisha wananchi wako wakaboresha mazingira ya shule kuliko kuwahamisha.....am not sure Kama unajua impact yake baadaye.......ahhhhhh kumbe alisoma Kile chuo

Hujui unachoongea
 
Basi wapeleke nyumbani kwako uwalee Kama unawaonea huruma.....hizi ndizo impact za maandamano hakuna mda wa kufanya kazi wabunge wenzake ahhh swafiiiiiiiiiiiiii
We nae unaboa!upeo wako wa kufikiri ni mfupi sana akili zako zinajaa kwenye kizibo tu.watu tunajadili mada iliyoko mezani we unamwaga pumba tu mradi umcriticize lema.jichunguze akili yako vzr we sio mzima.
 
Kama mbunge ulikuwa wapi ck zote badala ya kuhamasisha wananchi wako wakaboresha mazingira ya shule kuliko kuwahamisha.....am not sure Kama unajua impact yake baadaye.......ahhhhhh kumbe alisoma Kile chuo
Ulikuwa hujui kuwa alisimamishwa ubunge na mahakama au umetoka usingizini na kukurupuka. Fikiria kwanza kidogo kabla ya kuandika.
 
moja ya sifa ya chadema ni kuchukua maamuz magumu kwa manufaa ya umma. na haya aliyofanya lema ni maamuzi magumu sana ninampa big up
 
Sidhani Kama anawasaidia wanafunzi wake na mda ndo unayoyoma........acha azalishe mambumbumbu......huyu jamaa sijuwi Kama anatafakari Kabla hajatenda.....ohh alisoma Kile chuo

Basi wapeleke nyumbani kwako uwalee Kama unawaonea huruma.....hizi ndizo impact za maandamano hakuna mda wa kufanya kazi wabunge wenzake ahhh swafiiiiiiiiiiiiii

LEMA piga maandamano mwaka mzima wananchi wa AR utawatafutia kila kitu.......hutakiwi kuwa na PhD kujua hizi ndizo athari za kupiga makelele kila kukicha.

Basi wawapele KGM Kaskazini au Mbowe ambako wananchi wanafanya kazi ya kujiletea maendeleo na sio kufanya MAANDAMANO kila kukicha....sasa unamlilia nani?

Sasa hata Kama aliifungua makamu wa Rais yeye ndio anatakiwa kuwahamasisha wananchi kuboresha mazingira ya shule au mbunge? Ahh na wewe ulisoma Kile chuo alichosoma LEMA
Shelui unatia aibu kweli, hata huelewi unachokitetea.

1. Watoto walikuwa hawasomi japo wanaenda shule.

2. Lema hakufanya aliyoyafanya peke yake, alikuwa na Mkuu wa shule, Afisa Elimu, Diwani na Mwakilishi wa Mkurugenzi.

3. Hatua aliyochukua Lema, inasaidia watoto wasomee katika shule nyingine wakati matatizo ya shule hiyo yanatafutiwa ufumbuzi.

4. Kumbuka hii ni shule ya serikali na Halmashauri ilikuwa haijali, na ilikuwa inaona bora muda upite japo watoto hawasomi, Lema anataka kuhakikisha wanapata elimu bora.

Hapo chini ni jopo lililomsaidia Lema kuamua

View attachment 80592
Afisa elimu, Diwani, Mbunge, kaimu mkurugenzi na mwalimu mkuu wa shule ya Korona.
Shelui, umethibitisha uwezo wako mdogo wa kufikiri. Jifunze na jipange upya.
 
Last edited by a moderator:
mbona mleta mada ameeleweka na ameweka wazi kwamba lema amesema atawapeleka katika shule za manispaa ya arusha,atleast wanafunzi watano katika kila shule

Mkuu asante kwa maelezo ya ziada. Mleta mada ameongezea maelezo kwenye yale ya awali ikiwa ni pamoja na kuweka picha. Bandiko la awali halikuwa na maelezo ya wapi hao watoto watakwenda kusoma na picha hazikuwepo.

Tiba
 
Kwa kuwa Lema alikuwa hapendi shule ndio maana haoni umuhimu wa hata hao 118 kuendelea kuhudhuria shuleni.Ustawi wa jamii fuatilieni usalama wa hawa watoto kuwa katika ofisi ya Lema.
 
Kama mbunge ulikuwa wapi ck zote badala ya kuhamasisha wananchi wako wakaboresha mazingira ya shule kuliko kuwahamisha.....am not sure Kama unajua impact yake baadaye.......ahhhhhh kumbe alisoma Kile chuo
Mnafki mkubwa wewe... unajifanya umejitoa ufahamu, bila aibu unauliza utumbo na wakati unajua alisimamishwa ubunge..
 
Wapi Mulugo jaman m2saidie maana nyie ccm bana mkiambiwa hamna mlichokifanya huwa mnacharuka sn eti ona shule kila kata 2mejenga,vyuo mnajivunia UDOM hebu oneni hiyo shule ya Korona inavyowaumbua ss jaman ccm hamna jipya mkubali hamna kilichofanyika hapo ni unyanyasaji 2 huku watoto wenu mnawapeleka wakasome nje ya nchi hii ni aibu kwa taifa.
 
Kwa kuwa Lema alikuwa hapendi shule ndio maana haoni umuhimu wa hata hao 118 kuendelea kuhudhuria shuleni.Ustawi wa jamii fuatilieni usalama wa hawa watoto kuwa katika ofisi ya Lema.
Hebu soma tena kuanzia post namba moja kisha chukua kioo ujiangalie na kujiambia "Pamoja na kuwa natumia jina bandia hapa JF lakini watu wametambua mimi ni mpuuzi,situmii ubongo wangu niliopewa na MUNGU bure kwa matumizi sahihi"
Nyie ndio ambao mmesababisha wale members tuliokuwa tunawaamini kwa kutufundisha mambo mengi adimu wakae pembeni kwa vile forum imeingiliwa na wasiotumia ubongo.
Umefika wakati JF management ifikirie kuweka IQ test kabla ya kumregista mtu humu jukwaani.
 
Wewe na Lema IQ zenu zinafanana ndio maana mnateteana.
 
hii ni shule ya serikali au ya mtu binafsi? Kama lema amesitisha wanafunzi, solution yake nini? Anawahamisha kwenda shule nyingine au ndo imetoka hiyo? Mleta mada fafanua hapa!!!

Tiba

jamani jifunzeni kusoma na kuelewa.
 
Back
Top Bottom