Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
- Thread starter
- #181
Wewe Masabo unasifia ujinga angalia na wewe usijeukaangukia kwa watu wasiochambua mambo.Lema ni sehemu ya baraza la madiwani wa jiji, shule j.amilikiwa na jiji wanatakiwa kuiboresha hiyo shule ni jiji ambapo Lema naye ni sehemu yao. Huyo diwani yupo kila siku wanaingia kwenye baraza hakuona hilo tatizo na shule ipo kwenye kata yake? Ina maana hata huwa hafanyi vikao vya WARDC? Na kama huwa anafanya huwa wanajadili nini kwani mratibu wa elimu.wa kata ni sehemu ya wajumbe pamoja na walimu wakuu wa shule. Halafu kama Afisa elimu sekondary alishauri yanunuliwe mabasi kama hatua ya kwanza ya kupunguza tatizo kwa dharura mpaka watakapojenga mabweni na baraza likakataa ambalo yeye Lema na diwani.wake ndiyo waamuzi nani alaumiwe? Hizi ni sifa tu za huyu mvuta bangi siku nyingi hakusikika kwenye vyombo vya habari sasa ameamuakuja na hii
Hoja za kuiboresha shule hiyo ilishapelekwa hata ukiangalia kwenye update utaona afisa elimu nae alishapeleka mapendekezo yakapigwa chini watu wanaangalia matumbo yao tu hawaangalii maisha ya watanzania lakini na kuhakikishia baada ya hatua hiyo ya lema kuchukuliwa watalifanyia kazi...