Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

Alikuwa mahakamani na kisha akawa honeymoon kwa takribani mwaka mzima...

LEMA piga maandamano mwaka mzima wananchi wa AR utawatafutia kila kitu.......hutakiwi kuwa na PhD kujua hizi ndizo athari za kupiga makelele kila kukicha.
 
Kinachopaswa hapa kufanywa na Lema ni kulivalia njuga hili suala na kuhakikisha kila mwanafunzi anapata shule atakayoamia ili asiendelee kuathirika kwa kukosa masomo.
Kuanzia leo watakuwa wanakaa kwenye ofisi ya mbunge mpaka hapo watakapo patiwa shule za muda wakisubili shule yao ifanyiwe marekebisho ya mapungufu yaliyopo...
 
Duh hii kali!sasa Lema kafanya ili kwa kushauriana na nani??maana siasa izi akumbuke wakiamua magamba kumtunishia msuli ni watoto wale waliokuwa wanaenda shule ndio watakaoumia.
 
Unauliza wakaguzi ee,wakakague nini?kwani watoto wao wanasoma huko?na anaesema lema awawahishe shule kwani huko walikokuwa walikua wanasoma?amesema atachangia nguvu ya kuijenga ,hiyo shule iwe ya boding wanafunz wawe wanalala huko na hao wanafunzi walioko kwa sasa itabidi akawaombee baadh ya shule wakute wakijisomea huku wakisubiria mambo yawe kama ilivyo agizwa na muumba.arusha kuna mbunge sio sharobaro.utalinganisha na kwa mwigulu? Au kwa janwari? Huyu ni JEMBE chezea kamanda wewe!! Malema komaa wewe ni kiboko ya bikiroboto na yule alopinda
 
Lema na siasa zake za Arusha ni vichekesho tu.

Wewe pimbi badala uwasikitikie wataoto walala hoi wanaenda shule lakini hawasome miaka miwili ukiangalia daftari hajafika hata nusu ya daftari somo historia....acheni utani na maisha ya watanzania....
 
Kama mbunge ulikuwa wapi ck zote badala ya kuhamasisha wananchi wako wakaboresha mazingira ya shule kuliko kuwahamisha...
Shelui, unauliza mbunge alikuwa wapi kweli!...na mimi naomba nikuulize ulikuwa wapi? Hivi mtu akishakuwa magamba ndiyo basi kila kitu kinayeyuka, yaani mpaka akili na kumbukumbu!
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia leo watakuwa wanakaa kwenye ofisi ya mbunge mpaka hapo watakapo patiwa shule za muda wakisubili shule yao ifanyiwe marekebisho ya mapungufu yaliyopo...

Basi wawapele KGM Kaskazini au Mbowe ambako wananchi wanafanya kazi ya kujiletea maendeleo na sio kufanya MAANDAMANO kila kukicha....sasa unamlilia nani?
 
Shelui, unauliza mbunge alikuwa wapi kweli!...na mimi naomba nikuulize ulikuwa wapi? Hivi mtu akishakuwa magamba ndiyo basi kila kitu kinayeyuka, yaani mpaka akili na kumbukumbu!

Mag3 nakuheshimu sana lakini LEMA amekuwa akifanya kazi kwa maandamano since 2010 na hata kipindi hiki ambako alikuwa likizo angeshirikiana na wananchi wake kujiletea maendeleo badala yake alikuwa majimbo ya wenzake akipiga kelele.....kwani hiyo shule imejengwa mwaka huu? Yeye alikuwepo tangia 2010 anacholalamika Leo nini? Ndio faida za maandamano
 
Last edited by a moderator:
Hata hiyo shule ilifunguliwa na makamu wa raisi tena kwa mbwembwe nyingi sana...

Sasa hata Kama aliifungua makamu wa Rais yeye ndio anatakiwa kuwahamasisha wananchi kuboresha mazingira ya shule au mbunge? Ahh na wewe ulisoma Kile chuo alichosoma LEMA
 
Sidhani Kama anawasaidia wanafunzi wake na mda ndo unayoyoma........acha azalishe mambumbumbu......huyu jamaa sijuwi Kama anatafakari Kabla hajatenda.....ohh alisoma Kile chuo
Mkuu, umesoma post au umekurupuka. Tatizo sio la Lema, ni la shule ambayo ni ya serikali.

1. Walimu wanafika saa 6 na kuondoka saa 7:30.

2. Wanafunzi walikuwa wanasoma kipindi kimoja cha dak. 30 tu kwa siku.

3. Mazingira mabaya: watoto wanatembea km. 13 na hawapati wanachofuata, wanakunywa maji machafu ya mto n.k.

4. Wanachangishwa pesa ambazo haziwafaidiii chochote

Sasa kama Afisa Elimu na Mkurugenzi wamekaa kimya hawaingilii, Lema amekosea nini hapo?

Shida ni kuwa serikali imejikita kupambana na Chadema (Lema na Dr. Slaa) badala ya kutatua matatizo kama ya hao wanafunzi.

Acha ushabiki.
 
lema anazidi kudhihirisha kuwa yeye ni kiongozi wa watu kwa maslahi ya watu wake...peoples choice...
 
Sasa hata Kama aliifungua makamu wa Rais yeye ndio anatakiwa kuwahamasisha wananchi kuboresha mazingira ya shule au mbunge? Ahh na wewe ulisoma Kile chuo alichosoma LEMA

Tetea nduguzo usitetee mafisadi.
 
Basi wapeleke nyumbani kwako uwalee Kama unawaonea huruma.....hizi ndizo impact za maandamano hakuna mda wa kufanya kazi wabunge wenzake ahhh swafiiiiiiiiiiiiii

Kweli Shelui huna huruma wewe?amakweli kufikiri kwa kutumia makalio tabu kwelikweli!!Magamba mmefulia
 
Mod najua huwezi kunifungia kwa matusi mazito niliyotoa wakati nasoma post za hawa mavuvuzela ya CCM maana sijayaandika.
Mleta thread kabainisha kuwa wazazi hao maskini na wanafunzi wamefurahishwa na maamuzi ya Mbunge wao maana walikuwa hawasomi na wahusika(wakaguzi na DED) wako kimya. Halafu hapa wasio na huruma na hao vijana wetu bila akili wana leta nyo.. Nyo.. Kwa vile aliyefanya jema ni Lema.
 
Hii ni shule ya serikali au ya mtu binafsi? Kama Lema amesitisha wanafunzi, solution yake nini? Anawahamisha kwenda shule nyingine au ndo imetoka hiyo? Mleta mada fafanua hapa!!!

Tiba

mbona mleta mada ameeleweka na ameweka wazi kwamba lema amesema atawapeleka katika shule za manispaa ya arusha,atleast wanafunzi watano katika kila shule
 
Lema na siasa zake za Arusha ni vichekesho tu.

Ritz na unga wake wa udaga ni sarakasi tu "ni vyema akarudishwa china akanyongwe kuliko kupoza hasira za wachina kwa kutumia gas yetu".
 
Back
Top Bottom