Alakara Armamasitai
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 481
- 133
safi kamanda endelea kutupa updates wa kila kinachoendelea kaka
Askari wa mahakama wamsachi vizuri Ben Saanane anaweza akawa amebeba Kuber special.
Ao vijana wa chadema wanaolumbana kijinga wapo???
Ni hatari kwa masalia,wasaliti na wachumia tumbo.However,ni shujaa kwa wapenda mageuzi na maendeleo ya demokrasia!Ben saa nane ni hatari sana huyu jamaa
Nyerere yupi na kajibuje!Piga kazi kijana tupate kinachoendelea. Nasikia kichefu chefu kwa yale yanayofanywa na CCM hasa huku MWZ nashukuru jana Nyerere kawajibu
Kweli mkuu,hicho kifaa cha digitali anachotumia Ben Sanane kinatisha!!Kama simu zimezimwa tutapataje updates sasa, au mkuu Yericko unatumia kifaa cha digitali kama cha Ben?
Jamani hiyo ni LIVE ya aina gani mbona hakuna update yoyote hata kutuambia kuwa kesi imeisha anza?
Kama umeridhika na hali za usalama hapo mahakamani nime kucopy,Over!! vigezo na masharti vitazingatiwa.mkuu tulia basi tufatile kesi, kuna part 6 ya yale mambo inakuja leo kuanzia sa 9 alasiri so wait kidogo utatupia vyakutosha muda huo, but for now tuko mahakamani, niombi tu
Situmeshaambiwa wanasoma kwanza historia ya kesi yenyewe!!Hivi kukaa kimya huku ndiyo tutajuaje maendeleo?