Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Yaani kama ni mpira, humu kuna watu siku zote hawawezi kwenda na move kamwe. Thread ni ya kesi na watu wapo makini kufuatilia mwenendo wa kesi wengine wameng'ang'ana masalia masalia, uchawi..hivi nyinyi niaje? simfuate thread zinazohusu hayo mambo huko? acheni kuongeza pages unnecessarily.
 
Updates:

Mahakama imejiridhisha kuwa madai ya udharirisha hayakuathi uchaguzi wala mlalamika (ccm)

kama hii wamekubali majaji..sasa wanaendelea nini kupoteza mda!!!mtangazeni lema mbunge halali wa arachuga...or else...
 
Rafki yangu ni jaji amenifowardia sms kutoka kwa Jk dhaifu kuwatisha majaji
nmeambiwa kwamba ni vigumu kwa lema kushinda hii rufaa kwa sabab anaonekans ni mtu hatari kwa usalama... mliopo mahakamani mtathibitisha majaji wamepewa vitisho. subirin mwisho wa rufaa mtaniambia.
 
Kwa tunao amini mungu majibu tuliyonayo ni kuwa mh. Godblec lema anarudishwa bungeni.
 
Hiyo ndiyo habari.
Mahakama ya Rufaa imeona kuwa hoja madai ya washitaki hayakuathiri mwenendo wa uchaguzi.
 
Mh. Nyerere nimeona umetoa hitimisho Tumeshinda. Ni kweli? Kesi imeisha? tuthibitishie mkuu tuanze kushangiria. Peeeeeeeeeeopleeeeees!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom