Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Kamanda Yericko, Pamoja sana tujuzeni kinachoendelea sisi huku pembezoni mwa Nchi tunawafuatilia kwa ukaribu sana na tunachokiamini ni kwamba, kamwe haki ya mtu haipotei bali huwa inacheleweshwa tu na watu dhalimu.
 
wakuu acheni mambo yasiyoendana na hii kesi basi, tujadili update kila zinapokuja, tuwe wauungwana kidogo, ni ombi tu
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho, siku zote mwenyezi mungu si comi hivyo atatenda kulingana na haki inavyotakiwa,lakini itategemea na je wewe unawatendea wenzako vizuri?kwani yeye anakupimia kulingana na unavyowapimia wenzako
 
There are currently 248 users browsing this thread. (175 members and 73 guests).

Kuanzia majuzi kwenye thread ya Mamuya hadi leo ufanisi wa kazi ofisini kwangu umeshuka kwa 25%!

Kwenye masuala ya familia umeshuka kwa 50%, maana silali, nikitaka kusinzia tu, nashituliwa na breaking nyuz ya Shonza!... huh!

Sijui kwa wengine
.

Mkuu yaani wewe kama mimi Jana nimelala sa 9 usiku
nimeamka sa 12 bado nafuatilia mtukio


Leo ni LEMA'S DAY (21.12.2012)
 
Mkuu hali si nzuri kuna kitu nimeelezwa kutoka ndani ya moja ya ofisi nyeti,kuna watu wanaweza kuzimia hapo.i mean kwamba matarajio ya wengi yanaweza kuwa kinyume mkuu!!!!!!!!!!lakini tusubiri ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

Tunasubiri majibu ya aina yoyote kamanda sisi arusha tuko tayari kufa na Lema
 
wakuu acheni mambo yasiyoendana na hii kesi basi, tujadili update kila zinapokuja, tuwe wauungwana kidogo, ni ombi tu
Sasa wakati tunasubiri update situnaendelea kuongea kaka au tukae kimya wakati tunatarajia furaha???
 
...nina imani na panel (wale majaji-3),siyo aina ya majaji wanaojipendekezaga ikulu. Cdm mnaweza kushinda leo,sisi Ccm tunategemeaga sana uwoga wa majaji. Lakini kwa hawa daah,nina wasiwasi km watatubeba!!
 
watu tumeshaomba udhuru makazini tunasubia tupewe mbunge wetu tuponde mastarehe,GOD BLESS GODBLESS LEMA
 
Back
Top Bottom