Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Magari ya washawasha na defender lukuki za polisi zimetinga....hofu imetanda ghafla nje na ndani ya mahakama.Vijana msilale...lale2x2. Mbowe,Nassari na Lema ndo wametinga wakati huu!
 
Leo mahakama imefurika mapema, hali ya hewa ni nzuri,

Updates:

Bado hukumu haijaanza kusikilizwa, nyuso za wakombozi zimejaa bashasha. Hii ni dalili nzuri kwa kupokea matokeo!
Mkuu tuko pamoja sana tunaomba utuhabarishe kila kitakachokuwa kinaendelea hapo kamanda.
 
Piga kazi kijana tupate kinachoendelea. Nasikia kichefu chefu kwa yale yanayofanywa na CCM hasa huku MWZ nashukuru jana Nyerere kawajibu
 
Mkuu hali si nzuri kuna kitu nimeelezwa kutoka ndani ya moja ya ofisi nyeti,kuna watu wanaweza kuzimia hapo.i mean kwamba matarajio ya wengi yanaweza kuwa kinyume mkuu!!!!!!!!!!lakini tusubiri ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

Hatutaki utoto anayereport ni mmoja tu
 
haki ya mtu haizuiliki.....tuko pamoja sana ndugu zangu...tusubiri ushindi
 
Magari ya washawasha na defender lukuki za polisi zimetinga....hofu imetanda ghafla nje na ndani ya mahakama.Vijana msilale...lale2x2. Mbowe,Nassari na Lema ndo wametinga wakati huu!

Picha please!
 
hata kama lema atavuliwa ubunge,bado cdm itabaki imara na harakati za ukombozi zitaendelea kama kawaida.
 
Mkuu hali si nzuri kuna kitu nimeelezwa kutoka ndani ya moja ya ofisi nyeti,kuna watu wanaweza kuzimia hapo.i mean kwamba matarajio ya wengi yanaweza kuwa kinyume mkuu!!!!!!!!!!lakini tusubiri ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

Hakuna wakuzimia hapa kwani Lema akishindwa si uchaguzi tu na magamba ni ndoto za abuasi kushinda A town labda tuwe maiti.
 
Back
Top Bottom