PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,783
Mkuu, Arusha ya wapi tena hiyo?Sisi wana Arusha tunasubiri kwa hamu Matokeo ya leo CCM hata wafanyeje Arusha ni Chadema tu.
Mkuu, Arusha ya wapi tena hiyo?Sisi wana Arusha tunasubiri kwa hamu Matokeo ya leo CCM hata wafanyeje Arusha ni Chadema tu.
Mkuu, Arusha ya wapi tena hiyo?
Mkuu, si YN tu, naamini hata commander Ben Saanane haogopi vifo vya panya, na ataripoti accordingly.Yeriko nakuaminia, hapa tutapata kitu live kweli kweli!!!!!
Tiba
Leo mahakama imefurika mapema, hali ya hewa ni nzuri,
Updates:
Bado hukumu haijaanza kusikilizwa, nyuso za wakombozi zimejaa bashasha. Hii ni dalili nzuri kwa kupokea matokeo!
Sisi hatutashangaa maana CCM walishasema kwa hali na mali jamaa harudiMkuu hali si nzuri kuna kitu nimeelezwa kutoka ndani ya moja ya ofisi nyeti,kuna watu wanaweza kuzimia hapo.i mean kwamba matarajio ya wengi yanaweza kuwa kinyume mkuu!!!!!!!!!!lakini tusubiri ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Sisi hatutashangaa maana CCM walishasema kwa hali na mali jamaa harudi