Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Hongera kamanda Lema, hongera CDM
Naona nina bahati kwani nimejoin JF jana na leo napokea taarifa nzuri

Mungu wetu ni mwema! Mimi ndio kwanza nimejoin dakika chache zilizopita mara nasoma ukombozi huu wa dhati! Hongera kamanda Lema pamoja na makamanda wooote!
Hata hivyo nichukue fursa hii kusema hello kwa wana JF wote.
 
Na ndio maana yake! Hii inaonesha wazi kwamba kupata haki TANZANIA ni ngumu kama ukilegeza..Kamanda kakaza mwanzo mwisho mpaka kimeeleweka! Rudi kazini kamanda..MUNGU ni mwema sana! Peopleeeeees!
 
Wajameni,

Ni muda mrefu umepita kuushuhudia umati mkubwa kama huu."There are currently 3660 users browsing this thread. (1140 members and 2520 guests)"

Ukiangalia idadi ya members na wasio members, wasio members ni mara mbili ya members, hii inamaanisha jf, inatembelewa zaidi na wasio members kuliko hata members, hivyo this jf is very powerful media!.

Asante kwa hukumu hii ya Lema, leo imetuunganisha na long lost friends tuliopotezana nao kipindi kirefu nyuma!. Kwa maoni yangu, kile kidole Lissu alichounyooshea mhimili huu wa mahakama pia itakuwa imechangia angalau kwa mahakama kuu ya rufani kuwathibishia Watanzania kuwa kuna wakati, wanaweza kutoa uamuzi wa haki!. Sijui kwenye ile kesi ya mgombea binafsi, walishikwa na kigugumizi cha nini!

Mkuu Pasco, kwanza ni kupongeze kwa kuongea kutoka moyoni, leo nimekuona watofauti sana kutokana na maandishi yako haya. Ni zaidi ya miaka 10 na kufahamu ila leo umebadilika sana, Inaelekea umeanza kuwa mtoto mzuri! usiyefungamana na upande wowote!......
 
Uliposema "CCM wameamriwa kulipa gharama za kesi....." ulikuwa as if ndo statement ya hukumu inavyosema... kitu ambacho si kweli. Suala la kutumwa ama kujituma wewe huwezi kulijua.....Usiwe suspicious kwa jambo ambalo halina ushahidi.

sasa unatokwa mapovu yote ya nini
 
Ndugu yangu MaliNyege polevsaana, ndo politics hizo. Kumbe kuna watu walilelewa CCM? Duh, kivipi? Kwani CCM ina vituo vya orphanage? Sijawahi sikia hili kabisaa!

Kazi kweeli-kweli. Kumbe CHADEMA ni mayatima mpaka wanalelewa na CCM?????
 
Mary Chatanda, Mzee Makamba, short term objectives zenu zimeharibu long term objectives za chama kisiasa.
attachment.php

CHADEMA ARUSHA.png
 
Hapo ndo mwanzo wa kuuliza watu hawa waliopewa mahakama kama kweli wana ujuzi na hiyo taaluma au ndo kupeana tu. Kila siku maamuzi yao mabaya yanaingizia Taifa hasara.

Watoto wakishindwa mitihani walimu wanasakamwa kweli kweli au na hakimu aliyehukumu hii kesi alikuwa amegoma?

Ongereni wana wa CHADEMA. Siku ipo!!!!!!
 
hongereni sana makamanda' hii inadhirisha kuwa MUNGU akiwa daima upande wetu, wala hakuna hata mmoja atakaye kuwa kinyume chetu.
 
Katika Member wote wanaofuatlia huu uzi naona huyu jamaa leo hapa chini kawa Guest!

avatar23356_6.gif
 
Usia wa Lema siku alipovuliwa ubunge! Msiogope wanaarusha haki itashinda! Hakika haki imeishinda dhidi ya dhuluma.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom