Yericko Nyerere na Ben Saanane, mnastahili hongera tangu kesi hii ilipoanza kusikiliziwa Dar es Salaam. U kept JF updated.
Tuwashukuru wote pia ambao wamekuwa wakifuatilia kesi hii, kwa nia njema...ofcourse na kinyume chake pia. Watu wote waliokuwa wakitembea, wakila, wakilala, wakiamuka wakimuomba Mwenyezi Mungu awajalie majaji wa kesi hii, kuiona haki na kweli.
Katika mhimili unaokabiliwa na matatizo lukuki kiasi cha kuminya haki za watu wengi, bado kuna some exceptionals kama hizi za majaji kuamua kusimamia taaluma yao, kulinda heshima zao na heshima ya mhimili huo muhimu, kuhakikisha sheria zinatafsiriwa ipasavyo, lakini muhimu zaidi, kuonesha kuwa haki inaweza kutendeka.
Ni wito wa wapenda haki kuwa, majaji wengine wataendelea kusimamia haki, ili haki na matumaini (kwa sasa hayapo kutokana na uongozi mbovu na siasa chafu za CCM na serikali yake) ndiyo iwe misingi ya amani na utulivu wa kweli kwa nchi yetu.
Kesi karibu zote zilizofunguliwa dhidi ya wabunge na madiwani wa CHADEMA kupinga ubunge na udiwani wao, uliopatikana kwa nguvu ya umma, zilikuwa ni zaidi ya kesi za kawaida. From Gervas Mbasa in Biharamulo to Meshack Opulukwa in Meatu, from John in Ubungo to Tundu Lissu in Singida, from Godbless in Arusha to Hyness Kiwia in Ilemela, from Halima Mdee in Kawe to
Asanteni sana