Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

chadema andaeni mkutano mkubwa wa kuchoma moto kadi ya slaa ya ccm msiiweke tena kwenye makumbusho....pamoja na kumpongeza lema.....piiiiipoooooozzzzzzzz............................................................
 
Gharama za kesi ni pamoja na Lema kulipwa gharama za nauli , hoteli na kuathiriwa kisaikolojia sio?
 
Aibu kwenu ccm kwa njama zenu mbovu zisizokuwa na tija
 
Leo ni maagizo ya nani? maana alipovuliwa ubunge ilikuwa maagizo ya IKULU....bila ya kuwa mnafiki na mpika majungu huwezi kuwa mwana CHADEMA

Ikulu ilifanya manuva ili kupunguza kasi ya Lema,unakumbuka kauli ya Pinda kuwa Arusha inawafanya wasilale? Sasa wameona mambo magumu wameamua kuachia.
 
Jamani haya mnayoripoti kuwa Lema ameshinda ni kweli? Tujuzeni wajameni


Nashangaa Radio 1 hawajaitoa kama breaking news, maana hii ni ajali mbaya kwa ccm, na jamaa ni wazuri sana kwenye eneo hilo(breaking news za ajali ajali).
 
chadema andaeni mkutano mkubwa wa kuchoma moto kadi ya slaa ya ccm msiiweke tena kwenye makumbusho....pamoja na kumpongeza lema.....piiiiipoooooozzzzzzzz..... .............................. .........................
 
Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wapi zitoooooooo? Wapi Nape? Wapi prezooo, wapi dude....., wapi masaliaa, wapi wagangaaaaaaaaa
 
Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.

Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.

Hongera Chadema hongera Lema.

ameheshimu kwa kuwa anajua hata uchaguzi ungerudiwa CCM wasingeambulia chochote, amefanya ziara kibao arusha akaona mwenyewe'
 
Wana wa Nchi,

Nimshukuru sana Mwenyezi Mungu, Hatimaye Haki imependeka, mwaka 2010 nikiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha mjini chama changu kilinipa dhamana ya kuwa Meneja Kampeni wa Kamanda Lema, kazi ambayo niliapa kufanya kwa Moyo wangu wote, hali kadhalika nilipewa jukumu la kusimamia madiwani katika kata 18 ambapo nilishinda kata 8 na kupata madiwani 8.

Mwaka 2010 sikuwa na fedha za kupambana na CCM, waliotuchangia fedha ni machinga, mama ntilie na washikaji waliopigika kimaisha, hatimaye walipiga kura na kulinda ushindi hadi Lema akawa mbunge, kitendo cha Lema kuvuliwa ubunge kilikuwa ni dhulma kwa wanyonge wa taifa letu, baada ya mwenende mzima wa kesi na hatimaye rufaa Kamanda Lema amerudishiwa ubunge wake, nadhindwa kuzuia furaha yangu kwa kuwa kazi ya mikono yangu imezaa tunda jipya, hongera kamanda Lema, hongera Arusha, Hongera Chadema...

"KWA KUWA MUNGU YUPO UPANDE WETU HAKUNA WA KUMUOGOPA DAIMA"

AMNDLAA!!!!!!! AMANDLAAA

Kamanda Magoma Jr Magoma

M/Kiti Mstaafu Chadema Arusha.
Kampeni Meneja Arusha Mjini.
 
Back
Top Bottom