Lema apigwa stop kukampeni Meru

Yaani wanamtumia mpaka mzee Sarakikya!

nchemba+2.jpg

Mtu mzima akiumbuka rahae?? Wakumbuke kile kipigo cha Temeke enzi za Mrema na serikali yote ilikuwa Temeke mpaka presidaa wao..Nasikia rraaahaaaa.
 
Tutakutana Arumeru! Tarehe 1/4/2012 msizime simu kama tulivyowakimbiza Igunga...
Ephata Nanyaro upo?????
Just Loading...!
Kaka upo! bado wazee wa chama (Hawa Ghasia) hawajakushughurikia? nakumbuka waliahidi kukunyoosha maana ulianza kuonesha tabia za kupindapinda. Kila la heri, lakini ujue fika kwamba viwanja hivyo Bashe hatakosekana.
 
KUNDI LA WAZEE WA MERU WAMEMTAKA BW GODBLESS LEMA KUTOSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KUZIBA NAFASI IIYOACHWA WAZI NA MAREHEMU J SUMARI ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO KWA TIKETI YA CCM.

SABABU WANASEMA ALITOA MATAMSHI WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KWAMBA "SASA SUMARI AMEKUFA HILI JIMBO LAZIMA LICHUKULIWE NA CHADEMA" KWA HIYO AMEWAVUNJIA HESHIMA'

HABARI ZAIDI SOMA HAPA:DailyNews Online Edition - Meru elders ban MP Lema

Hivi BAKWATA waliishakamilisha shughuli ya kumtetea DC Mkatoliki Mama Kimario wa Igunga? Hiki ni moja yavituko vya aina hiyo tunavyotarajia kuona huko Arumeru Mashariki.
 
Tutakutana Arumeru! Tarehe 1/4/2012 msizime simu kama tulivyowakimbiza Igunga...
Ephata Nanyaro upo?????
Just Loading...!

Wezi watupu mnajikusanya mkaibe kama igunga. Pawepo fair game uome mziki wake. Unalijua hili daktari basi tu njaa yako ndo mana unashadadia mambo ya arumeru. By the way kamati ya maadili walikusulubu vipi mkuu?
 
Daily news la Ally Mkubwa ha ha Dr Slaa will never be a fifth president,nchi imeanguka,Serikali imezidi kuwa rojorojo hana aibu mpaka leo anashabikia chama ipo siku bwana Ally mkubwa utayaona

Gazeti ni la kususia kulinunua wanunue CCM wenyewe kwani linaandika vitu vya ovyo kuliko hata Uhuru na Mzalendo.
 
sometimes unakuwaga fair aisee

haaahaha siku zote ndivyo nilivyo sema cdm huwa hawataki kukosolewa, wenyewe wanajiona wapo 100% right na hili tatizo ndio litakipelekea cdm kufa kifo kibaya sana.
 
Hawa Wazee Walipaswa Kumzui Mwigulu Nchemba maana anakula mpaka VIBIBI huyu Mwanaizaya
 
kama kuna watu nawapenda ccm ni huyu nchemba na ile picha ya kapuya akipekechwa na mtoto, hahahahaa :)

wana ccm huko wenye wake zao, kasheshe hiyoo inakuja. Ukiona mpenzi wako kavaa scarf bendera ya taifa basi wewe anza kuhesabu tu maumivu na kuwa wameshakulia. Na kwa ccm, ukitaka kula, kubali uliwe kidogo.

Mwigullu nchemba, kiboko ya wanawake wa igunga. Sasa atatembeza ubabe wake arumeru na si ajabu kashaanza.

wazee, hivyo vitambi vitawaua, siyo afya nzuri, punguzeni matumbo hayo muwe na afya njema muongeze uhai.
 
Kweli inasikitisha kumbe hata mzee wetu Gen Sarakikya Rtd hajui kuwa chama hiki kinaongozwa na mafisadi???????

wazee, hivyo vitambi vitawaua, siyo afya nzuri, punguzeni matumbo hayo muwe na afya njema muongeze uhai.
 
kama wazee wa ccm wote wana akili kama makamba na mkama sishangai..ogopa akili ya mzee anayevuta ugolo ulochanganywa na sigara kali na bangi!
 
Tutakutana Arumeru! Tarehe 1/4/2012 msizime simu kama tulivyowakimbiza Igunga...
Ephata Nanyaro upo?????
Just Loading...!
Karibu Mheshimiwa Arusha kwa vile ni member wa JF si vibaya ukafahamiana na members wenzako!!! Ila Mkuu Arumeru sio mchezo, njoo ukutane na machalii wa Kimeru!!!

 
Kesho utasikia TBC imempiga stop zitto
acheni CCM na vyoombo vyake vya kijinga
 
Siwezi kuhukumu kitu ambacho akijatokea, kwa hiyo siwezi kusema chochote kwenye suala hilo.

Yaani mkuu wangu Nyerere alisema ukianza kula nyama ya mtu huachi.Huoni kwamba wale mabingwa wa propaganda za udini ndio wameingia na gea mpya Arumeru ya kuwatumia wazee? Hebu tujadiliane hapo mkuu wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom