Hilo gazeti la Daily News linasomwa na nani sana sana maofisini tena serikali ya maghamba, hakuna kitu hapo!!!!KUNDI LA WAZEE WA MERU WAMEMTAKA BW GODBLESS LEMA KUTOSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KUZIBA NAFASI IIYOACHWA WAZI NA MAREHEMU J SUMARI ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO KWA TIKETI YA CCM. SABABU WANASEMA ALITOA MATAMSHI WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KWAMBA "SASA SUMARI AMEKUFA HILI JIMBO LAZIMA LICHUKULIWE NA CHADEMA" KWA HIYO AMEWAVUNJIA HESHIMA'
HABARI ZAIDI SOMA HAPA:http://dailynews.co.tz/index.php/local-news/2121-meru-elders-ban-mp-lema
Kwani meru ni state inayoongozwa na hao wazee?Lema anaongozwa na sheria si wazee waliotumwa na ccm!
Ma.ga.mba at work again,baada ya Lema kuwa kivutio pale msibani kiasi cha kila mtu hasa vijana kutaka kushikana mkono na Lema mpaka Katibu wa CCM wilaya ya Arumeru kuanza kuwazuia na kutaka kusabisha tafrani CCM walitishika sana...sasa wameona wawatumie hao wazee ili tu Lema asishiriki kampeni kwa kuhofia mvuto alio nao...kwanini hao wazee wasinge mwita katika kikao chao waka mweleza alivyowakwaza(kama ni kweli) na kumpa nafasi ya kujitetea...ninavyoamini sifa na kazi za wazee ni pamoja na kushauri,kuonya na kusamehe...sasa napata shaka na aina hii ya wazee wakukaa kikao na kutoa adhabu moja kwa moja...kidogo ninge amini kama ingelisikika kuwa...Wazee wamemtaka Lema awaombe radhi..akakaidi..then wafanye uamuzi kama huu.Kikatiba pia hawa wazee hawana mamlaka kama hayo na ikizingatiwa pia marehemu Sumari hakuwa mbunge wa wazee pekee,alikuwa mbunge wa makundi yote(vijana,wazee,wasomi,wasio wsomi nk),na ndivyo atakavyokuwa mbunge atakayechaguliwa tena hapo 1 April...sasa sijui hawa wazee wanapata wapi mamlaka ya kuwasemea wana Arumeru wote.Lema tia timu Arumeru muda ukifika ni haki yako kikatiba kamanda.
hili dailynews si ni gazeti la serikali na ndio michuzi anapofanyia kazi au?
wazee wa Arumeru au wazee wa CCM? fafanua.KUNDI LA WAZEE WA MERU WAMEMTAKA BW GODBLESS LEMA KUTOSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KUZIBA NAFASI IIYOACHWA WAZI NA MAREHEMU J SUMARI ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO KWA TIKETI YA CCM. SABABU WANASEMA ALITOA MATAMSHI WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KWAMBA "SASA SUMARI AMEKUFA HILI JIMBO LAZIMA LICHUKULIWE NA CHADEMA" KWA HIYO AMEWAVUNJIA HESHIMA'
HABARI ZAIDI SOMA HAPA:http://dailynews.co.tz/index.php/local-news/2121-meru-elders-ban-mp-lema
KUNDI LA WAZEE WA MERU WAMEMTAKA BW GODBLESS LEMA KUTOSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KUZIBA NAFASI IIYOACHWA WAZI NA MAREHEMU J SUMARI ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO KWA TIKETI YA CCM. SABABU WANASEMA ALITOA MATAMSHI WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KWAMBA "SASA SUMARI AMEKUFA HILI JIMBO LAZIMA LICHUKULIWE NA CHADEMA" KWA HIYO AMEWAVUNJIA HESHIMA'
HABARI ZAIDI SOMA HAPA:http://dailynews.co.tz/index.php/local-news/2121-meru-elders-ban-mp-lema
Ni gazeti la chama na serikali ya Magamb.a
Huwezi kuacha jembe utalimaje