Lema apigwa stop kukampeni Meru

Ma.ga.mba at work again,baada ya Lema kuwa kivutio pale msibani kiasi cha kila mtu hasa vijana kutaka kushikana mkono na Lema mpaka Katibu wa CCM wilaya ya Arumeru kuanza kuwazuia na kutaka kusabisha tafrani CCM walitishika sana...sasa wameona wawatumie hao wazee ili tu Lema asishiriki kampeni kwa kuhofia mvuto alio nao...

kwanini hao wazee wasinge mwita katika kikao chao waka mweleza alivyowakwaza(kama ni kweli) na kumpa nafasi ya kujitetea...ninavyoamini sifa na kazi za wazee ni pamoja na kushauri,kuonya na kusamehe...sasa napata shaka na aina hii ya wazee wakukaa kikao na kutoa adhabu moja kwa moja...kidogo ninge amini kama ingelisikika kuwa...Wazee wamemtaka Lema awaombe radhi..akakaidi..then wafanye uamuzi kama huu.

Kikatiba pia hawa wazee hawana mamlaka kama hayo na ikizingatiwa pia marehemu Sumari hakuwa mbunge wa wazee pekee,alikuwa mbunge wa makundi yote(vijana,wazee,wasomi,wasio wsomi nk),na ndivyo atakavyokuwa mbunge atakayechaguliwa tena hapo 1 April...sasa sijui hawa wazee wanapata wapi mamlaka ya kuwasemea wana Arumeru wote.

Lema tia timu Arumeru muda ukifika ni haki yako kikatiba kamanda.

Kama ishara zote kama hizo zishajionyesha ccm wanajisumbua ya nini si wangejiweka pembeni kama mkeo wao cuf tu?
 
ccm mnaanya bamsi wakati hata safari haijaanza na ikianza itakuwa je?
 
Tutakutana Arumeru! Tarehe 1/4/2012 msizime simu kama tulivyowakimbiza Igunga...
Ephata Nanyaro upo?????
Just Loading...!
Mweshimiwa, pole kwa majukumum ingawa ni wajibu wako anyway kututumikia sisi wananchi. Swali dogo tu Je na wewe ni mmoja wa wale mnaojiita wapiganaji ndani ya chama chenu? kama hivyo ndivyo, je hamuoni kujiita wapiganaji ni kukisaliti na kikidhoofisha chama hasa machoni mwa wanachama na wananchi kwa ujumla? Je unaonaje mnaweza kushinda vita yenu hiyo mliyoianzisha?
Je unafikiri mwalimu angekuwapo angekubali kuiona ccm inafikia hapa ilipo? (makundi na fitna). nini maoni yako juu ya marumbano ya hadharani ya makada vigogo wa chama chenu.
Mwisho mweshimiwa huoni kwamba upo sehemu ambayo hutakiwi kuwa kwa muda huu? nakukubali na nilikubali hoja yako kuhusu madaktari juzi juzi.

Back to Mada yetu, kumbuka mheshimiwa Arumeru ni Arumeru na Igunga itabakia kuwa Igunga. Cha msingi tu msigawe vyakula kwa kisingizio cha misaada kaya kwa kaya, tunaomba misaada iende arumeru baada ya uchaguzi, na viongozi wa serikali wa wilaya wasianze kampeni kwa kisingizio cha kutekeleza majukumu yao, tunataka Free and Fair & rules to be followed; tutawashangaza 'cause we have all support from poor wananchi.
 
Hilo kundi la wazee idadi yao haifahamiki, inaweza ikawa kuanzia wawili au kumi waliokuwa na huyo mwandishi.
Sina hakika kama jimbo lote la Arumeru Mashariki wazee wote walikuwa msibani na baadaye wakaitana ili kuongea maneno hayo kwa huyo mtoa habari.
Katiba inaruhusu Mtanzania kwenda popote anapotaka ili mradi hajavunja sheria.
KAMANDA GODBLESS HUYU MWANDISHI ANAKUOGOPA, NENDA ARUMERU NA FANYA KAZI ZA CHAMA CHAKO KIKAMILIFU.
Arumeru ni mali ya kila Mtanzania wala si mali ya chanzo cha habari, wasituletee za kuleta hapa.
 
Wamesha vunja Katiba!
Wanasheria mko wapi? na gazeti la Serkali linashabikia! Tunaelekea wapi?
 
hata wewe unaongea hahahahahaha kwanza nilijua ulisha hama CCM kumbe bado uko CCM.....

ivi kigwangala upo? Moto wa lema huuweza mwananzega weee,si unaona wanalazimisha ban dhidi ya lema kule meru.mi nlidhani mahakama ndo imemkataza kumbe ni mzee kitoi anamhanya Kamanda lema
 
Lema ilikuwa apumzike kwasababu uchaguzi wenyewe mbele ya CDM ni chamtoto. Sasa kwa hasira, kamanda Lema ndio wameshamtibua, anakwenda kupiga kambi mwenyewe pale, ndio hao mnaowaita wazee wajinga watakapotia akili kwa kulianzisha. Na mimi nitakuwa likizo, nitakuwa huko huko USA river kipindi hicho.
 
Hata hivyo hawana uwezo kisheria wa kumzuia Lema na wengine ambao Chadema inaona wanafaa kwenda Arumeru. Wasitutishe.
 
Hakuna Mzee wa kimeru anavaa Baraghashia acheni umbea. Waliotoa tamko ni wazee waliokuwa wanakunywa kahawa Tengeru, most of them wanatokea Kondoa kiasili.
 
Hao sio Wazee wa Arumeru ni mazee ya CCM arumeru ukishayapa nyama, mbege,elfu kumi na lifti mpaka umemaliza yanaweza kuropoka chochote
 
Lema anao uhuruwa kwenda popote ndani ya mipaka ya Tanzania
 
Huwezi kuzuia mvua isinyeshe Brigedia Lema ni kama mvua kwao na ukizingatia wamevaa tight wote so wanaogopa utamu utaonekana......
 
yaani wanamtumia mpaka mzee sarakikya!

nchemba+2.jpg

sarakikya, jeshi na siasa wapi na wapi!
 
Kama kweli alitumia lugha hiyo aombe msamaha yaishe.
Wasije tumia hiyo kauli against CDM and it is the right thing to do to apologize.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom