Lema apewa chopa kujenga Chadema

a. Lema ni mchagga na Mbowe ni mchaga lazima walinde ajira ya mwenzao

b. Kila la heri Lema kwa kupata perdiems na kusafisha macho kusafiri katika anga..

c. Je ni kikao rasmi cha chama kimeamua hayo? if that is the case, then chama kiko kwenye serious problem..
 
Umeingia choo cha kike; CDM siri zao anazo Mheshimiwa Lusinde!!! Ama wewe ni mfuasi wa Waziri Mkuu wa Uingereza??

Mimi napendekeza huyu jamaa hapo kwenye red apewe cheo cha 'katibu wa itikadi na uenezi'. Yaani jamaa anafaa sana, hasa baada ya kumuona 'anavyo-perform' jukwaani Arumeru Mashariki.
Nakumbuka saana kauli yake ya " ...........Tutatukana............."
 
Tunashuhudia upotevu wa MABILIONI ya pesa za wananchi kwa kumtengenezea LEMA ajira!
Hii ni hatari sana kwa taifa.
Kama katemwa ubunge apumzike mbona wengine hatuna job na tunasurvive?

teh teh hiyo sasa ni chuki binafsi,sasa Kama huna kazi na hautafuti kazi unataka mwenzio aige ujinga wako!.Hebu soma ulichoandika hapo juu vizuri.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.

swala sio kumtengenezea lema ajira,kilichofanyika hapo ni kwamba watu wengi wapate elimu na ukweli wa mambo jinsi yalivyo kwa haraka sana,na pia ni mojawapo ya kumtuma kwa watanzania kutoa elimu ya uraia.watanzania wanhitaji
kujua mambo mengi juu ya haki zao,lakini sasa nani aende?ccm! nadhani kutumia chopa ni njia raisi ya kuwakusanya wasikilizaji wengi kwa muda mfupi.lakini zingatia,demokrasia ni gharama.hivyo sioni tatizo lolote endapo mheshimiwa lema
atatumia chopa.pia tafadhali elewa kwamba katika siasa za tz kwa sasa hakuna siasa za kusini ,magharibi,kaskazini au mashariki,wanaoumia kwa siasa hizo za ****** unazozisifia ni pamoja na wewe.tanzania itajengwa na watanzania wenyewe
bila kujali gharama
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gan
i kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.

Njaa kazin
 
a. Lema ni mchagga na Mbowe ni mchaga lazima walinde ajira ya mwenzao

b. Kila la heri Lema kwa kupata perdiems na kusafisha macho kusafiri katika anga..

c. Je ni kikao rasmi cha chama kimeamua hayo? if that is the case, then chama kiko kwenye serious problem..
Ninyi vilaza wa PPemba tulieni mnyolewe!!

Chopa lazima idondoke huko kwa wala urojo!!
 
kila la kheri kamanda lema 2po pamoja sn hakuna mtu ninae mkubali kama lema,anayesema hana mvuto najua wote ni magamba yaliyogomea kwenye makalio na nawashaurini msubiri na mumuone ni jinsi gn anavyokubalika,hata hivyo magamba kinawauma nn mpk mseme anamvuto? acheni woga na kukijenga chama sio kufungua ofisi,bali kuwaandaa kwanza watu wa kuimiliki ofisi na ninaamini kabisa mh lema atafungua matawi mengi kupitia huo mzunguko.ninawaomba sn bavicha taifa mshirikiane na lema.:lalala:
 
a. Lema ni mchagga na Mbowe ni mchaga lazima walinde ajira ya mwenzao

b. Kila la heri Lema kwa kupata perdiems na kusafisha macho kusafiri katika anga..

c. Je ni kikao rasmi cha chama kimeamua hayo? if that is the case, then chama kiko kwenye serious problem..

Mliitwa mafisad mkazuka na kuvua gamba nalo halikuvuka licha ya kukesha kupiga wewe na wenzio kina Nape,mwache Lema ajenge chama letu kwan kila atendalo laleta uhai mpya.Mmebana then mtaachia hata kwa matusi yenu mtachoka tu na bado mtaisoma hiyo chopa.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

WEWE WASEMA, LEMA ALIENDA IRINGA WAKATI FLAN AKATAKA ATEMBEE KWA MGUU KUJUA MJI 'YAKATOKEA MAANDAMANO' KWA SABABU WANANCHI WALIKUWA WAKIMFUATA IKABIDI POLISI WAMWOMBE APANDE GARI! Peopelessssssssssss. Mpaka kieleweke

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
 
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!

du! Mkuu naona una taarifa za kiinteligensia tayari!!
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

hongera kwa kunufaika na mfumo nyonyaji,huyo unae muona hafai leo ndo atakata mrija unaotumia kunyonyea leo.

na wewe una influence gani katika siasa za Tz? Hongera kwa kunufaika na mfumo huu ila najua ipo siku ya Gadaffi na wanawe yatakukuta.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Matumizi mabaya kama unaikodisha kama ambavyo CCM inafanya. Hii chopa haikodishwi imeshanunuliwa na anapewa bure. Bei ya mafuta ya ndege ni shilingi elfu moja kwa lita.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Arumeru tumetumia chopa hebu pita sasa hivi na nguo za kijani uone zomezome....
 
Back
Top Bottom