Lema apewa chopa kujenga Chadema

Lema apewa chopa kujenga Chadema

Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.

magamba ya kiazi at work..hamkujua maana msingemvua ubunge.
 
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!

Umeona eeh! lakini big up CDM kwa kufuata ushauri wa watu wa humu JF (nakumbuka kulikuwa na uzi unaoshauri kuwa Lema afanye kazi ya kuzenguka nchi na kuhamasisha watu zaidi kuunga mkono chama). Nafikiri ni muda muafaka wa kuweka kambi Tabora na mikoa ya kusini mwa nchi ili kuleta ukombozi na M4C
 
aende akajenge chama na gari ndio tutajua ana mvuto au hana, hapo watanzania watajaa kwenda shangaa chopa.
 
Huko ni kupeana ulaji tu. Lema hana mvuto wa kuwapata wanachama na wafuasi Rufiji, Kilwa, Mkuranga, Bagamoyo, Kilindi, Pangani, Vuga na Pemba. KAMANDA ZOMBE ana siri nzito za LEMA
 
Pamoja sana Makamanda. Nimejiunga na CDM baada ya kuona magamba hawana muelekeo.

Umeingia choo cha kike; CDM siri zao anazo Mheshimiwa Lusinde!!! Ama wewe ni mfuasi wa Waziri Mkuu wa Uingereza??
 
Umeingia choo cha kike; CDM siri zao anazo Mheshimiwa Lusinde!!! Ama wewe ni mfuasi wa Waziri Mkuu wa Uingereza??

Lazima umsifie Kibajaji Lusinde, CCM hamna la kuwaeleza watanzania tena zaidi ya kumwaga matusi.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.

Tulia wewe wacha watu tukajenge chama. Movement 4 Change siyo kazi rahisi.
Lema atafika mahali viongozi wa CCM hawajawahi kufika, na pengine hawatarajii kufika.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Tulio changa tuko kimya ila wewe kizabizabina inakuuma. Tuko tayari kuongeza nyingine kama M4C itaitishwa. Joka la kutisha na lenye roho mbaya kama CCM ukipata chance ya kulipiga kichwani usiiachie, Lema gonga hili joka kichwani hadi life.
 
Huko ni kupeana ulaji tu. Lema hana mvuto wa kuwapata wanachama na wafuasi Rufiji, Kilwa, Mkuranga, Bagamoyo, Kilindi, Pangani, Vuga na Pemba. KAMANDA ZOMBE ana siri nzito za LEMA

Lusinde ni mtu wa kuwaramba kwa CDM alichemsha, je kwako amefanikiwa kukuramba ndo mana unamsifia?
 
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.

Kuna watu form six tulikuwa tunawaita kichwa cha panzi, miaka imepita sasa, je umewahi kuitwa jina hilo?
 
Ukitumwa kabla ya kutumika pima kwanza, kutembea ukikinzana na tsunami ni kuwahisha kifo chako, kwani hakuna njia mbadala ya kutumika kama lazima utumike? LEMA amekuchanganya sasa unabisha hodi utoke nje badala ya kuingia ndani???
 
Serikali haifanyi kazi za kanisa. Ulitaka mahakama imuonee huruma kwa kuvunja sheria?

najua wewe ni darasa la saba,hebu tafuta mwenendo wa kesi na hukumu maana hata wewe utaielewa...
 
Uamuzi mbovu, matumizi mabaya ya rasilimali. Mbaya zaidi kazi anapewa kilaza asiyekwena shule aifanye.

Kwa mwendo huu, hivi mkiona chama kinaporomoka au kufa mtashangaa??
 
Back
Top Bottom