Lema apewa chopa kujenga Chadema

Lema apewa chopa kujenga Chadema

Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Weeee Mkuu Ritz subiri utapata jibu mwenyewe kama Lema anakubalika kwa vijana na wadau nchi yote au vipi????? Nakwambia kichaa kapewa rungu tena sokoni!!!!!

Hudhuria tu mikutano yake na utajionea mwenyewe influence zake katika siasa za Tanzania,hii haihitaji kujiuliza kajionee mwenyewe!
 
Kukaaleki RAJEO akili yako imevia/dumaa kama kidevu chako!!!! unaposema kilaza unamaanisha nini??. watanzania hatuhitaji viongozi lege lege waliopambwa na doctorate za heshima lakini wanasaini mikataba bila kuisoma wanawaangalia wezi wa mali za umma bila kuwakemea.

Ni bora tukaongozwa na mtu mwenye elimu ndogo lakini anayeweza kutoa amri ikatekelezwa, anayetoa ahadi ikatekelezwa, anayeweza kuwapeleka mafisadi na wezi wa mali za umma magerezani bila kujali urafiki uliopo baina yake na muhusika. This is my take kama wewe unahita semina elekezi ili kuutambua ukweli huu basi subiri muda ufike maana semina hiyo itaendeshwa kwenye magereza ya kilimo na itaambatana na kazi ngumu.
CDM ina viongozi wazuri na wenye uelewa wa mambo kama akina Zitto na Mnyika. But wanachama hawawakubali. Matokeo yake wanawang'anania watu kama akina Lema ambao kwangu mimi naona uelewa wao wa mambo ya siasa ni mdogo sana. Kwa mtindo wa kuwategema hawa akina Lema, chama kitakuwa kinarudi nyuma tu.
 
Usiwasemee watu. Na wale wa Dodoma waliokuwa na ari ya kusikia kuhusu Lema walitoka kaskazini ya mji wa Dodoma? Chuki binafsi zisizo na maana. Wasimhitaji Lema aliyemtuhumu Waziri mkuu kuwa amelidanganya Bunge? Cheza na Lema wewe?
 
MAFILIFILI, umeliona hilo eeh,
Hatari sana kwa kweli pesa za walalahoi zinatafunwa inasikitisha sana aisee!

Mkuu hizo fedha za hoyo madudu yaliyoandikwa hapo chini ni ngapi na zimeliwa nani na wamechukuliwa hatua gani????Je hizo zinalingana na za kuelimisha jamaii atakazotumia Lema, unataka watu waendelee kuibiwa bila kujibu mapigo???Sasa mmechelewa watu wamezinduka, mmefanya kosa kumtoa Lema mjengoni sasa mtajuta imekula kwenu, pole saana!!!!
(EPA,RICHMOND,KIWIRA,DEEPGREEN, TICS,MEREMETA na KAMPUNI IKULU,WIZI WA KURA,KURITHISHANA MADARAKA,KUUZA NYUMBA ZOTE ZA SERIKALI,KUWEKEANA SUMU! USITUFANYE WAJINGA SASA HIVI TUNAJUA KILA KITU!ENZI ZA UJINGA ZIMEPITWA NA WAKATI HII NI GENERATION MPYA!)

Weeee Mkuu Ritz subiri utapata jibu mwenyewe kama Lema anakubalika kwa vijana na wadau nchi yote au vipi????? Nakwambia kichaa kapewa rungu tena sokoni!!!!!

Mkuu Mtumishi,
Kuna kikao chochote cha chama kimeamua Lema apewe Chopa au ni maamuzi binafsi ya Mbowe.
 
Ndio tutaheshimiana hapa Bongoooooooooo.......Mungu atupe nini zaidi jamani kama sio kilichobaki ni kuingia magogoni na PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZZZZZZZZZZZ POOOOWEEEEEEEEEEERRRR....HUGE MAPAMBANO YANASONGA MBELEE....MUNGU ENDELEEA KUSIKILIZA KILIO CHETU WATANZANIA...AMIN.
 
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.

Kumbe kuwakosesha usingizi ni overdose! Dah magamba bwana strategy zimewaisha kabisaaa...
 
Huwezi kuichukia Chadema na ukampenda Lema. Wanachadema wanamjua wanayemhitaji. Unawafahamu waliokikosesha kile chama kikongwe kura kule Arumeru? Ungefanya la maana kuwasaidia wawavue magamba na kuwawajibisha watu hao wanaojulikana ili kukinusuru chama na kushindwa tena kuliko huu unafiki unaojifanya kushauri hapa kwa watu wenye fikra pevu. Unaaibisha.
 
Mkuu Mtumishi,
Kuna kikao chochote cha chama kimeamua Lema apewe Chopa au ni maamuzi binafsi ya Mbowe.
Nakwambia mtasema kila jambo na kuota kila ndoto the cat is out of the cage mmechelewa mkuu kazi ndio imeanza!!!!!

Mkuu Mtumishi,
Kuna kikao chochote cha chama kimeamua Lema apewe Chopa au ni maamuzi binafsi ya Mbowe.
Hhahahhaa...Teheee...Endeleeea kusubiri vikao vya masaburi kuweka chini kama vya kwenu vya magamba...!!!Sisi tunasonga mbele...Ndio maana ya mtu kuwa mwenyekiti[Hajatamka hayo kama Mbowe...Ametamka kama mwenyekiti.KUMBE NDIO MNAVYOMFUNDISHA JK KUTOKUTOA MAAMUZI YA MAMBO MAGUMU????? Anasubiri tuutume zifanye kazi na kusaidiwa na wazee wa DAR...????SHAME ON YOU RITZZZ!!!!Nitawashangaa watu kama wewe milele.
 
Mkuu Mtumishi,
Kuna kikao chochote cha chama kimeamua Lema apewe Chopa au ni maamuzi binafsi ya Mbowe.

Kwasababu hakuna kilichovuja mpaka wakati mkuu anakwenda mitamboni au! Usilinganishe magamba na cdm hata chembe ndugu yangu.
 
CDM ina viongozi wazuri na wenye uelewa wa mambo kama akina Zitto na Mnyika. But wanachama hawawakubali. Matokeo yake wanawang'anania watu kama akina Lema ambao kwangu mimi naona uelewa wao wa mambo ya siasa ni mdogo sana. Kwa mtindo wa kuwategema hawa akina Lema, chama kitakuwa kinarudi nyuma tu.

Mkuu Rejao mpenda amani,
Kweli hata mie sijui kwa nini wanamg'ang'ania Lema wakati hakuna chochote alichofanya zaidi ya kutengeneza CD ya maandamano ya Arusha alichofanya Mbowe ni kumtafutia ajira Lema baada ya kushindwa kesi ya ubunge Arusha.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempatia aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, helikopta na vifaa vingine kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukiunga mkono chama hicho, wakati huu ambapo anasubiri maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kuhusu kuenguliwa ubunge wake.

Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, alipokuwa akihutubia umati wa watu uliofurika katika uwanja wa Barafu Dodoma jana.

“Ninajua mna hamu ya kusikia kuhusiana na mbunge wenu Lema, (wananchi wanaitikia ndiyo), tumempatia kazi maalum kwa kumpa helikopta, muziki mkubwa na matarumbeta,” alisema.

“Anakwenda kuamsha ari ya mageuzi nchini, hakuna kulala hadi kieleweke. Wangejua ni balaa kwa hili walilolifanya wangemuacha bungeni,” aliongeza Mbowe huku akishangiliwa na umati wa watu.

Gazeti la Nipashe.
Muda si mrefu utasikia mikutano ya hadhara imepigwa marufuku kutokana na tishio la Bokoharam au Alshabab au Sunami. Si unajua magamba, sababu yoyote inaweza kutolewa tu.
 
Safi sana. Tunaomba kamanda LEMA kama unapitia huu uzi na ninaamini unaupitia, fanya hima tena ikiwezekana chama kitoe surport ya kifedha ili kamanda awaamushe raia wote kuhusu ubakaji wa katiba.
 
Chadema theirso creative ndo maana future ya hii nchi tunaiona mikononi mwa chadema Mungu amtie nguvu kamanda Lema mission yake ikamilike kwa amani
 
Back
Top Bottom