Lema apewa chopa kujenga Chadema

Lema apewa chopa kujenga Chadema

Huko ni kupeana ulaji tu. Lema hana mvuto wa kuwapata wanachama na wafuasi Rufiji, Kilwa, Mkuranga, Bagamoyo, Kilindi, Pangani, Vuga na Pemba. KAMANDA ZOMBE ana siri nzito za LEMA

mwambie kichaa zombe azirelease kama alivyotakiwa na manumba aliyempuuza kuwa cku izi akili za mwenzao huyo zimerun kama zako
 
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.

Signature yako inaakisi kile unachokifanya hapa, 'If you can't convince them, confuse them.'
 
Katika kuleta mabadiliko lazima gharama zitumike. Cmd good plan.
 
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?

Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.

hata kule rumeru mashariki mlisema CDM watashindaje kwa mkwe wa EL? lakini watu wakachukua ndoo, subiri watu wasafiri juu kwa juu harafu uone matokeo yake.
 
CCM wanasubiri kampeni 2015 ndo wakakodi chopa huko kwa madiba. kiukweli kuna maeneo mengi nchini ambayo gari hazifiki na chama kinatakiwa kijengwe huko vijijini. Sasa wnaosema eti watu watakuja kuangalia chopa badala ya kusikiliza sera za chama nadhani wamefikiria kinyume. kikawaida wangekuja watu wenye mapenzi na siasa ila kwa ujio wa chopa hata wale wanaokuja kuiangalia tu wanapata japo maneno mawili matatu kutoka kwa timu ya M4C ambayo yatawapa japo mwanga wa yale yanayosemwa.

Kamanda Lema, nenda kapige kazi nadomba mkitoka Dodoma mje na huku Lindi na Mtwara maana huduma ya uamsho wa kisiasa na kifikra inahitajika sana huku.
 
Kweli CDM maamuzi hufanywa na watu wa kaskazini kwa manufaa yao;
1.Walianza kwa Dr. Slaa 12 milioni Tshs. kwa mwezi baada ya kukosa urais
2. Sasa Lema amepewa ulaji wa kula ruzuku ya chama kisingizio akaeneza chama ukanda wa Pwani

HUU NI UFISADI!!!!
 
Siungi mkono Lema kuzunguka na Chopaa nchi mzima kwa kauli mbiu ya kujenga chama,ni matumiz mabaya ya pesa.,tunahitaji kutengeneza foundition ya kudumu ili tuweze kuchukua nchi na sio mambo ya Zima moto ya kutumia chopaa kwa siku moja kwenda kuhotubia wanakijiji kwa masaa mawili au moja na nusu na kisha kuondoka.Njia hii haiwezi kujenga chama kama tunavyofikiria.Tutengeneze basic foundition na sio kutafuta amasa ya cku moja na chopa.
 
Mbowe tuambie kwanini umepata mawazo ya kukijenga chama mara baada ya LEMA kubwagwa ubunge; hizo pesa zitokazo kwa Waziri Mkuu yule rafiki yenu; zingetumiwa kwa kuimarisha ofisi zenu mikoani kwa kuanzia kuliko kumlipa posho ya kukosa UBUNGE Lema; BUSARA ITUMIKE
 
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!

Jamiiforums hata Kama haujala unashiba bure.
 
Zile Machinga Complex mbili na Hospital ndio imeishakuwa stori tena tumeamia kwenye Chopa.
 
Mbowe tuambie kwanini umepata mawazo ya kukijenga chama mara baada ya LEMA kubwagwa ubunge; hizo pesa zitokazo kwa Waziri Mkuu yule rafiki yenu; zingetumiwa kwa kuimarisha ofisi zenu mikoani kwa kuanzia kuliko kumlipa posho ya kukosa UBUNGE Lema; BUSARA ITUMIKE

Huu wimbo hata magamba wenzio wataucheza
 
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!

umeona,eeh.utasikia chopa inazuia rada kumulika mawimbi ya tsunami
 
Good move, M4C itatekelezwa vizuri.
Magamba chup lazima ziwabane...
 
All the best kamanda, wataisoma sana safarii, uwe na influence au usiwe nayo hiyo si kazi yao kutushauri, CHADEMA tayari ina influence tosha kuweza kuwavutia watu kuja kukusikiliza.M4C DAIMA.
 
Siungi mkono Lema kuzunguka na Chopaa nchi mzima kwa kauli mbiu ya kujenga chama,ni matumiz mabaya ya pesa.,tunahitaji kutengeneza foundition ya kudumu ili tuweze kuchukua nchi na sio mambo ya Zima moto ya kutumia chopaa kwa siku moja kwenda kuhotubia wanakijiji kwa masaa mawili au moja na nusu na kisha kuondoka.Njia hii haiwezi kujenga chama kama tunavyofikiria.Tutengeneze basic foundition na sio kutafuta amasa ya cku moja na chopa.

Unapotaka mabadiliko mazuri ya jambo/kitu chochote lazima gharama ziwepo tu hamna namna ya kuyakwepa.Aheri ya Chadema wanatumia kodi za wananchi kuwapa elimu ya uraia wananchi.
 
Huu ni uamuzi wa busara. Magamba wamefungwa goli la dhahabu.
 
Back
Top Bottom