Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Mwigulu anatamani tena mwingine wa aina hii

739014474.jpg
Safari hii yeye ndiye atakuwa hivi amezoea kuwatanguliza wenzake wamwagiwe tindikali aliyoiandaa mwenyewe,

laana hii itamtafuna hadi anakwenda kaburini.
 
acheni uzushi mnataka magamba wapate visingizio! Kumzuia Nassari kugombea? Atakapomchapa kibao watampeleka mahakamani halafu kipindi cha kampeni kupitia mahakama watafanya hila juu chini kuhakikisha wanavuruga ratiba za kampeni! Wakijua wiki ijayo Nassari ana kampeni sehemu fulani mahakama ya Magamba inaitisha usikilizaji wa kesi siku na muda wa kampeni! Jamani mmuepushe na mumlinde kijana wetu na ugomvi wowote kipindi hiki!
 
Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye Jimbo la Arumeru Mashariki.

Kamanda Nassari aliamua kumfuata moja kwa moja bwana Mwigulu Nchemba na kumuonya kuhusu tuhuma hizo ndipo bwana Nchemba alipo anza kujibu mbovu na kamanda Nassari akaamua kumnyookea na Kumuambia Nchemba hapa ni Meru siyo Igunga nitakuchapa vibao sasa hivi, Kamanda Nassari akamsogelea Bwana Nchemba na kutaka kufanya kweli ndipo ghafula akatokea kamanda Lema na kumuambia Nassaria aachana na Nchemba kwani hawawezi kushinda Meru hata wakiamua kuhamishia Bank kuu pale na kugawa hela.

Kwasasa kamanda Lema na makamanda wengine Wameelekea Meru kwa kazi za chama ila baada ya Tafrani hiyo kamanda Nassari hajulikani alipoelekea, Ila hili lilikuwa onyo kwa mdomo , Hatuta vumilia ****** huu.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.

Hamna lolote mnatengeneza mazingira ya kuwamwagia tindikali usoni wasiowaunga mkono kama kule igunga mlivyommwagia huyu mtanzania mwenzetu hapa....

1.jpg

MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali usoni na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.
​
 
nataka kujua kama ccm imeishiwa watu makini na iwapo bado inaamini ktk uwajibikaji na utawala bora.
Mtu mwenye tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu hakupaswa sio tu kuendelea kuwa mbunge,bali pia kuendelea kushikilia nafasi yoyote ktk ccm, achilia mbali kuendesha operesheni za chama.
Huyo jamaa aondolewe ama aondoke haraka arumeru vinginevyo ataambulia kipigo toka kwa vijana mara uvumilivu ukiwashinda.

vipi kuhusu josephine mushumbuzi hakuwa mke wa mtu ?
 
Hamna lolote mnatengeneza mazingira ya kuwamwagia tindikali usoni wasiowaunga mkono kama kule igunga mlivyommwagia huyu mtanzania mwenzetu hapa....
1.jpg
MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali usoni na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.​
huyo alijitoa muhanga kuisaidia ccm na malipo yake ni kutibiwa India na kupewa jezi za kijani na njano
 
Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye Jimbo la Arumeru Mashariki.

Kamanda Nassari aliamua kumfuata moja kwa moja bwana Mwigulu Nchemba na kumuonya kuhusu tuhuma hizo ndipo bwana Nchemba alipo anza kujibu mbovu na kamanda Nassari akaamua kumnyookea na Kumuambia Nchemba hapa ni Meru siyo Igunga nitakuchapa vibao sasa hivi, Kamanda Nassari akamsogelea Bwana Nchemba na kutaka kufanya kweli ndipo ghafula akatokea kamanda Lema na kumuambia Nassaria aachana na Nchemba kwani hawawezi kushinda Meru hata wakiamua kuhamishia Bank kuu pale na kugawa hela.

Kwasasa kamanda Lema na makamanda wengine Wameelekea Meru kwa kazi za chama ila baada ya Tafrani hiyo kamanda Nassari hajulikani alipoelekea, Ila hili lilikuwa onyo kwa mdomo , Hatuta vumilia ****** huu.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.

Joshua amekosea, anaweza kuonekana mtu asiye makini kwa jamii yake. Sio nzuri kuoneshana ubavu.
 
Hamna lolote mnatengeneza mazingira ya kuwamwagia tindikali usoni wasiowaunga mkono kama kule igunga mlivyommwagia huyu mtanzania mwenzetu hapa....

1.jpg

MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali usoni na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.
​

sijui jamaa alilipwa sh. ngapi, na zitamsaidia nini wakati tayari kesha kuwa kilema
 
Losomich tumia akili badala ya masaburi unapata laana ya bure, mwigulu umemfahamia jf hivi hizo ni habari za kuandika kweli. Ni kweli unamchukia mwigulu kwa ajili ya kukiangusha chama chako igunga wakati kilikuwa na mazingira ya kushinda, lakini kuwa binadam na ujue na aina ya watu unaowaongelea. Mwigulu is a smart and wise man hata huyo nasari hamfikii labada nasari ndio analaana anataka kumfia mwigulu. Tuache ushabiki wa kijinga
 
Nasari ni mhuni na hajafundea. Ndio tabu ya watoto wa mitaani. Hawana malezi
 
Heshima kwako Kilewo,

Kwanza nikupongeze kwa kutuletea taarifa sijui kama ni za kweli au ndiyo kachumbari za kampeni.Mgombea ubunge wa CDM ana nafasi kubwa ya kushinda jimbo la Arumeru Mashariki kama atatumia akili zaidi kuliko nguvu na ubabe wa kijinga.Ikiwa Bwana Nassari alikuwa na ushahidi wa ugawaji wa rushwa alitakiwa kutoa ripoti TAKUKURU hiki ndiyo chombo mahususi kwaaajili ya kupambana na rushwa.Sisemi TAKUKURU ni waadilifu najua linapokuja suala la rushwa mara nyingi wanaangalia mhusika ni nani.

Bwana Nassari lazima atambue kosa dogo uzaa kosa kubwa asipokuwa makini anaweza kujikuta anajengewa mazingira mabaya ni vyema busara na hekima zikamwongoza katika kipindi chote cha uchaguzi ubabe,vurugu mwisho wake ni majuto.

Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye Jimbo la Arumeru Mashariki.

Kamanda Nassari aliamua kumfuata moja kwa moja bwana Mwigulu Nchemba na kumuonya kuhusu tuhuma hizo ndipo bwana Nchemba alipo anza kujibu mbovu na kamanda Nassari akaamua kumnyookea na Kumuambia Nchemba hapa ni Meru siyo Igunga nitakuchapa vibao sasa hivi, Kamanda Nassari akamsogelea Bwana Nchemba na kutaka kufanya kweli ndipo ghafula akatokea kamanda Lema na kumuambia Nassaria aachana na Nchemba kwani hawawezi kushinda Meru hata wakiamua kuhamishia Bank kuu pale na kugawa hela.

Kwasasa kamanda Lema na makamanda wengine Wameelekea Meru kwa kazi za chama ila baada ya Tafrani hiyo kamanda Nassari hajulikani alipoelekea, Ila hili lilikuwa onyo kwa mdomo , Hatuta vumilia ****** huu.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.
 
Bwana Mchemba anafikiri Wameru ni kama Wanyamwezi, unatembea na mke wa mtu na bado wanakupigia na kura, Haa ha ha.
Tuombe radhi WANYAMWEZI kaka!Japokuwa Igunga ipo Tabora lakini majority ni wasukuma pale, hivyo hivyo na Nzega zote ni wilaya za wasukuma!!Sisi Tupo Urambo,Sikonge na Uyui!Ukitembea na mke wa mnyamwezi tunakugeuza jinsia au bwabwa hata Mwigulu analijua hilo hatuna ujinga kabisa!!!
 
Duu! kumbe mzinzi kishatua tayari arumeru! Makada wa CCM Wenye wake zao wakae chonjo,GUME GUME limeishatua
 
Mambo magumu Arumeru,
Tusubiri tuone kama watatumia tena yale maji makali
 
Back
Top Bottom