Lema ampa mtoto wake jina M4c

Lema ampa mtoto wake jina M4c

ukweli husemwa:


Siasa na wanasiasa wengine wa bongo bana, wakati mwingine ni vituko tupu.

Kwa hili mtu mwenye hekima na busara inabidi asome alichokisema na kuendelea na shughuli zingine. No comment!. He is Godbless Lema
 
Aliyekuwa mbunge Arusha mjini Godbles Lema ameushangaza umma hapo jana alipowaambia wananchi kuwa mkewe amejifungua mtoto wa kiume na amempa jina m4c
Afande Sele naye amejifungua mtoto na amempa jina Asantesana
 
Movement for Change ni sentensi na Godbless ni sentensi hivi kuna kipi cha ajabu hapa?
 
Safi kamanda!!! Hivi hakuna aliyewahi kumuita mtoto Chadema? Maana kuna watoto walizaliwa na kupewa majina kama Osama, Obama, Reagan, etc japo hawa ni watu but hata movement ya Siasa ambayo imekuwa threat kwa siasa za upande wa pili hadi kufikia kumwaga damu ili tu watu wakichukie chama si mchezo. Chama hiki kinatakiwa kukumbukwa daima!!
 
Ananikumbusha alivyokuwa anataka kumuita mtoto wake NCCR, watu wakamshauri "mzee, its too soon to call..."
 
jana kwenye mkutano kamanda lema alijipongeza kumpata kamanda na kumpa jina la m4c
 
"Emfosii"?..."Emfosii Godbless Lema"......mmmmmh....may be!

Mbona ya kawaida sana? Mfano: Vita Kawawa, Madaraka Nyerere na wengineo, mnajua historia ya majina yao?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
King'asti! Nakubaliana nawe, nadhani jina ambalo lingemfaa ni Che Guevara. Che Guevara alikuwa mwanamapinduzi wa kimataifa kuliko kuwa na dhana ndogo ya chama cha siasa.


Bazazi!

Kumbuka yeye amemuita M4C hajamwita jina la chama. kwani huyu Che Guevara alikuwa mwanamapinduzi wa dunia au kwenye nchi yake tu?
 
Mbona ya kawaida sana? Mfano: Vita Kawawa, Madaraka Nyerere na wengineo, mnajua historia ya majina yao?
..., Uhuru Kenyatta, Mapinduzi Msalila etc! Hiyo ni sawa. Ndio nikasema "may be"!
 
Ana haki kumwita hivyo, kwani alivyopoteza ubunge aliendesha maisha yake kwa kupitia pesa za m4c mpaka alipoenguliwa kiaina baada ya kudokoa na kutokabidhi pesa alizopewa uk & usa. Sasa haruhusiwi kwenye m4c karudi arusha
Join Date : 11th September 2012-Bado mgeni sana jamvini jifunze kuandika kitu cha maana, ukishatoka kwenye gongo zako lala kwanza uamke na akili nzuri ndio uingie jamvini hiki sio kijiwe cha walevi ni mahali pa kuummiza bongo kujadili mada na kupeana taarifa motomoto!
 
enzi za chama kimoja watoto walikuwa wakiitwa UHURU, MAPINDUZI, AZIMIO n.k. Huyu mtoto ni kumbukumbu yake ya maisha. mia
 
9223]King'asti! Nakubaliana nawe, nadhani jina ambalo lingemfaa ni Che Guevara. Che Guevara alikuwa mwanamapinduzi wa kimataifa kuliko kuwa na dhana ndogo ya chama cha siasa.


Bazazi![/QUOTE]

Hauwezi kuwa wa kimataifa km hujaweza kuwa wa kitaifa. Charity begins at home
 
Last edited by a moderator:
Huu utahira mwingine unagharimu sana.

Huyo mtoto lazma atakuja kufanya deed poll ku-renounce hiyo slogan manake hilo haliwezi kuwa jina
 
Congratulation to you Lema! That's a good name, Movement for change! Same as mr Fish, gate, water e.t.l
 
Ana haki kumwita hivyo, kwani alivyopoteza ubunge aliendesha maisha yake kwa kupitia pesa za m4c mpaka alipoenguliwa kiaina baada ya kudokoa na kutokabidhi pesa alizopewa uk & usa. Sasa haruhusiwi kwenye m4c karudi arusha

Si mtoto wake, Zaa na wako umuite Nape ama Mwigulu Basi
 
Mbona ya kawaida sana? Mfano: Vita Kawawa, Madaraka Nyerere na wengineo, mnajua historia ya majina yao?

Jamaa wanashangaa au wamezoea majina yasiyokuwa na digit maana la mtoto wa Lema litakuwa na digit 4 yaani M4C Godbless Lema.

Mbona majina ya wanayama ya wangoni na majina ya kimakonde mbona huwa hawayashangai? kuna jamaa mmoja mmakonde jina lake la kwanza anaitwa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na la baba yake ni TANU mbona hawamshangai?
 
Aliyekuwa mbunge Arusha mjini Godbles Lema ameushangaza umma hapo jana alipowaambia wananchi kuwa mkewe amejifungua mtoto wa kiume na amempa jina m4c
Lema ni mwanamapinduzi wa kweli, chadema iko kwenye damu yake na kizazi chake.
 
Back
Top Bottom