Lema amesitisha mkutano wake na vyimbo vya habari

Lema amesitisha mkutano wake na vyimbo vya habari

Amefanya jambo zuri kwa manufaa yake mwenyewe na yale ya chama chake.
 
Lema ni smart sana kuliko vijana wenye mihemko wanavyomchukulia.

Hayo aliyoandika hapo hawa vijana wa mihemko watueleze mara ngapi wamekaa jela kwa misimamo yao ya kisiasa?

Inasikitisha kumvunjia heshima mtu kama huyu kwa ajili ya hawa keyboard attackers, wamejificha nje ya nchi wanaogopa jela.
Binafsi ninamkubali sana, hata uvumi wote ulikuwa unaenea juu yake nilivipuuza, sikuvipa hata nafasi. Kitu pekee kilichonishangaza ilikuwa ni zile issue ya passport ya Heche. Nilishindwa kabisa kuelewa swala lile liliingiaje pale.
Kuna vitu watu wasipopima ndiyo hupelekea uvumi kupata nguvu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom