Lema afunika Nzega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema afunika Nzega

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by never, Apr 18, 2011.

 1. n

  never JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mbunge wa ARUSHA mjini Godbless Lema akiwa ameambana na katibu wa mkoa wa Kinondoni Bwana Kilewo, leo wamewasha moto Nzega na kuufanya mji wote kuwa na mayowe ya furaha huku sauti ziki sikika ziki sema LEMA! LEMA! mkombozi wetu,

  akihutubia maelfu ya wakazi wa nzega Mh Lema alisema, kama kweli NAPE ni mwanaume amwambie Kikwete ajivue gamba, kwakuwa JK ni fisadi na muhujumu mali za umma, kauli hiyo iliamsha shangwe kubwa sana na pale KILEWO alipo sema msimuongepe fisadi Kikwete wala Pinda wala Makinda anayepindisha kanuni za Bunge natamani kama ningemkuta 2015 huyu mama ila najua sitamkuta kwakuwa hawafiki 2015 ilikuwa kauli ya kilewo,

  kama kawaida yake LEMA alisema ni mgeni nzega so anapita mtaa kwa mtaa iliapate kuijua vizuri, jamani yalikuwa ni maandamano ya kufa mtu. vibanda vya kuuza vitu vilifungwa kila mtu anataka kumshika Lema..... hakika Lema ni jembe la kweli
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  Baba Lema tunakuamanini.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  senator Arnold Schwarzenegger
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yaani hii CHADEMA hii kila mutu inatisha......masikini JK jamani na Chama Cha Magamba chake namuoneone huruma mbaba wa watu hapumui

  Sasa hivi ameparalize upande mmoja wa ubongo kwa sababu ya Slaa.....sasa tena wanaibuka wengine nao ndio wanamtia homa kabisa

  Well done, homa inawapanda na wanashindwa kunywa maji kwa kele za chura na kupanda mlima wa "vikokoto"...............na wameanza kujinyonga kwa nguvu ya umma
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Lema ni kijana mwerevu sn wa siasa za bongo, na ana uzoefu wa juu sn wa maisha ya uswazi...Muda mwingi anautumia kuongea na watu wa chini, hasa watengeneza simu wa mitaani na salon za kunyoa. kwahiyo anapata live kionjo cha maisha ya taabu.
  Hakika huyu kijana ni mwakilishi wa jamii yoyote nchini na ana mvuto usipime!
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well done lema
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Aluta continua Lema!
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Big up Lema! Mungu akutangulie.
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  safi sana mbunge wangu
   
 10. K

  KONDOO Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka picha hapa mkuu za Lema
   
 11. V

  Vumbi Senior Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani watu mlio huko wilaya za Tabora tuwekeni picha na sisi tuweze kufaidi hayo yanayotekea huko. Tafadhali hata mkitumia simu kupiga hizo picha inatosha. Mwaka huu mkuu wa kaya anaweza kufa kwa PB.
   
 12. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kip it up Lema..2015 mwaka wetu!
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Taratibi hivi hivi hadi uchaguzi wa twenty fifteen ufike tutakuwa tumemkata kichwa nyoka aliyejivua magamba!
   
 14. n

  never JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kweli cdm inamakamanda wa ukweli nilivutika zaidi na killewo pale alipo waambia vijana wote wanyanyue mikono juu wasali, sala naapa kwa mungu baba yakuwa sitoisaliti chadema katika harakati za ukombozi wataifa langu linalo liwa na mafisadi, nitaendelea kuunga harakati hizi mkono ninajua nitapata vitisho vingi eeh mungu baba naomba uendelee kunipa moyo wa ujasiri katika harakati zangu, mungu baba naomba upokee sala hii toka moyoni na ninamaanisha kwakile nilichokinena hapa, siku tuki saliti harakati hizi mungu utulaani ... ameniii... watu weweeeeeee safi safi safi safi..... yaani ilikuwa full shangwe
   
 15. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lema ni kama Che Guavara!
   
 16. m

  mob JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  tutafika
   
 17. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  nimekipenda hiki kiapo cha utii,nothing comes close to this katika ku-instil moyo wa uzalendo na kuweka zege zito la harakati za kulikomboa taifa hili na kulirejesha kwenye right track.Mungu tusaidie
   
 18. j

  jerry monny Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamanda wa nzega mmetunyima raha,mnge atach na picha jamani ingekua poa sana,anyway tunashukuru kwa hizo habari,ila next time picha ingeleta raha zaidi.
   
 19. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Lema Keep it up mzee.
   
 20. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bila ushabiki wa kidini msemo mzuri wa CCM kutumia katika kipindi hiki ni kusema "CCM IMEOKOKA" maana hili la kujivua gamba ni kwamba halileti mantiki nzuri. Je ina maana kujivua gamba la ufisadi wa kale na kupata gamba la ufisadi wa kisasa?
   
Loading...