Lema afunika Nzega

Lema afunika Nzega

big up Lema!

Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA
 
Hongera lema wamalize kabisa hawa wadanganyifu na wanafiki wakubwa.
Kujivua gamba kwa nyoka ni sawa na kuvua nguo chafu na kuvaa iliyosafi lakini aliyeivaa ni mtu yuleyule na kamwe nguo mpya haimbadilishi mtu tabia. Mwizi ni mwizi hata kama akivaa suti
 
Kama muasisi na mwendeshaji mkuu wa ufisadi yupo anaongoza chombo, unasemaje sasa amejivua gamba? JK anaona kuwa ktk mkutano wao mkuu ujao kwa mara ya kwanza angeweza kuwa rais bila kuwa mwenyekiti wa CCM maana ameshindwa kuunganisha Chama. Ana haiba lakini nadhani ushupavu katika uongozi unatashwishwi!!!!! Yaani kawaita vijana kama akina January na Nape ili angalau wamsemee!!!
 
sasa mwendo ni kuamsha ndugu zetu kule vijijini

safi sana lema na cdm kwa ujumla
 
mbunge wa ARUSHA mjini Godbless Lema akiwa ameambana na katibu wa mkoa wa Kinondoni Bwana Kilewo, leo wamewasha moto Nzega na kuufanya mji wote kuwa na mayowe ya furaha huku sauti ziki sikika ziki sema LEMA! LEMA! mkombozi wetu,

akihutubia maelfu ya wakazi wa nzega Mh Lema alisema, kama kweli NAPE ni mwanaume amwambie Kikwete ajivue gamba, kwakuwa JK ni fisadi na muhujumu mali za umma, kauli hiyo iliamsha shangwe kubwa sana na pale KILEWO alipo sema msimuongepe fisadi Kikwete wala Pinda wala Makinda anayepindisha kanuni za Bunge natamani kama ningemkuta 2015 huyu mama ila najua sitamkuta kwakuwa hawafiki 2015 ilikuwa kauli ya kilewo,

kama kawaida yake LEMA alisema ni mgeni nzega so anapita mtaa kwa mtaa iliapate kuijua vizuri, jamani yalikuwa ni maandamano ya kufa mtu. vibanda vya kuuza vitu vilifungwa kila mtu anataka kumshika Lema..... hakika Lema ni jembe la kweli

Fungeni milango tupigane!!!
 
Tuwekee picha basi, hata hivyo kila njemba kwenye chadema ni jembe! lakini magamba kila akiongea, ni upupu, chama cha magamba hakina radha, hakuna mwenye hamu ya kusikia kiongozi akiongea. Yaani wote wanaboa!
 
Back
Top Bottom