mbunge wa ARUSHA mjini Godbless Lema akiwa ameambana na katibu wa mkoa wa Kinondoni Bwana Kilewo, leo wamewasha moto Nzega na kuufanya mji wote kuwa na mayowe ya furaha huku sauti ziki sikika ziki sema LEMA! LEMA! mkombozi wetu,
akihutubia maelfu ya wakazi wa nzega Mh Lema alisema, kama kweli NAPE ni mwanaume amwambie Kikwete ajivue gamba, kwakuwa JK ni fisadi na muhujumu mali za umma, kauli hiyo iliamsha shangwe kubwa sana na pale KILEWO alipo sema msimuongepe fisadi Kikwete wala Pinda wala Makinda anayepindisha kanuni za Bunge natamani kama ningemkuta 2015 huyu mama ila najua sitamkuta kwakuwa hawafiki 2015 ilikuwa kauli ya kilewo,
kama kawaida yake LEMA alisema ni mgeni nzega so anapita mtaa kwa mtaa iliapate kuijua vizuri, jamani yalikuwa ni maandamano ya kufa mtu. vibanda vya kuuza vitu vilifungwa kila mtu anataka kumshika Lema..... hakika Lema ni jembe la kweli