Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,126
- Thread starter
- #741
Nadhani tunaelewa anachokifanya huyu mwanasheria anatumia kampuni yake ya uwakili na anasaini document kwa saini yake na mahakamani anahudhuria je hapo sheria inasemaje?
Ki practice haruhusiwi. Kama yeye ni mwanasheria wa halimashauri hakatazwi kuwa na firm yake, lakini yeye hatakuwa na right of audience zaidi ya mashauri yanayohusiana na halimashauri anayofanyia kazi.Mvamizi kamtafuta wakili kwa shauri hili hili