Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa


T

Tan1947

Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
41
Points
125
T

Tan1947

Member
Joined Jul 25, 2018
41 125
Wasomi natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Poleni na majukumu mazito katika ujenzi wa taifa.

Naomba msaada wa kupatiwa precedents zinazoongelea power ya high court ku intervene kwenye Arbitration. Au kesi zoote zinazohusu Arbitration
 
KAMUGUNGA

KAMUGUNGA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Messages
236
Points
250
KAMUGUNGA

KAMUGUNGA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2013
236 250
Not sure kama kuna WhatsApp group or telegram. Kama lipo naomba mniunge kwa namba hii 0755198295
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
17,487
Points
2,000
Age
22
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
17,487 2,000
Thread nzuri hii iko dormant baada ya Gragoon kupotea. Unaona nikiwambia kuwa mtu mmoja tu anaweza akawa NGAO ya kitu fulani say, Taifa, shule, etc. Thread ya sheria ni Dragoon! It is now dormant! Ona sasa Lisu hayupo, hakuna "outstanding" brain tena Tanzania in Tanzania politics!
 
M

mackney

Member
Joined
Oct 20, 2018
Messages
95
Points
125
M

mackney

Member
Joined Oct 20, 2018
95 125
Jaman wanasheria wa humu ndani naomba niwaulize swali?
Mm katika pita pita zangu kuna mtu alinizonga njian , hivyo kupelekea simu yangu kupotea.
Nilimshitaki kwa kwa kosa la kunipiga?

Nilimshitaki mahakama ya mwanzo lakin pamoja na huyo mtu kukili kunizonga ila mahakama hio ikaona hana hatia yeyote na kufuta kesi kwa sababu ushahid wa daktar katk pf3
Haojaonyesha kama nilipata maumivu makubwa!
Swali langu ne kweli huyo mtu hakjwa na kosa lolote ikizingatiwa mm nilipoteza mali??
Kiufupi ilinifanya mm nimdharau sana yule hakimu kwa uwezo wake
 
V

vicent Jackson

Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
6
Points
20
V

vicent Jackson

Member
Joined Mar 9, 2018
6 20
Samahani nilikuwaaa na swaliExplain the limitations on the powers of courts in dealing different cases.

Please anaye fahamu
 
V

vicent Jackson

Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
6
Points
20
V

vicent Jackson

Member
Joined Mar 9, 2018
6 20
Samahani Naomba mnisaidie


Limitations on the powers of courts in dealing different cases

Msaadaaa pleasea anayefahamu
 
sagaciR

sagaciR

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2017
Messages
588
Points
1,000
sagaciR

sagaciR

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2017
588 1,000
Swali linataka UTAJE na UELEZEE types za courts jurisdictions. Mfano Pecuniary, Territorial, Exclusive, Original, Appellate, n.k (kuna kama 11 types of jurisdiction)
Samahani Naomba mnisaidie


Limitations on the powers of courts in dealing different cases

Msaadaaa pleasea anayefahamu

NOTISI TO STUDENTS:

LENGO LA UZI HUU NI KUSAIDIA MASUALA YA KISHERIA KATIKA LITIGATIONS (i.e lawsuits) SIO ACADEMICS (i.e assignments, home works ect) NO NO itakuwa sio kabsa. Masuala ya darasan komaa na vitabu Library mkuu. (It seems upo chuo kinaitwa OUT)
 
Bilalihamis

Bilalihamis

Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
11
Points
45
Bilalihamis

Bilalihamis

Member
Joined Aug 18, 2018
11 45
Kuna hii kesi ya hivi karibuni. Ni kesi ya Farijala S. Hussen imeamuliwa na mahakama ya rufani mwishoni mwa mwezi uliopita. Inatoa angalizo kuhusu Notice of appeal na Memorandum of Appeal, pia namna ya kudraft notice of appeal. karibuni
Naomba msaada mwenye kitabu cha issa shivj's provisions of rule of law tafadhali
 
Asali ya limao

Asali ya limao

New Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
2
Points
20
Asali ya limao

Asali ya limao

New Member
Joined Dec 27, 2018
2 20
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Mkubwa nlkua nahitaji copyright ya ruling ya kesi ya lema CAT na
high court ile ya salma Maghimbi J.
 

Forum statistics

Threads 1,295,921
Members 498,479
Posts 31,228,229
Top