Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
7,043
2,000
Tumalizie na hizi - kwa maamuzi ya mwezi October 2018.
 
Attachments

mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
3,925
2,000
Ki practice haruhusiwi. Kama yeye ni mwanasheria wa halimashauri hakatazwi kuwa na firm yake, lakini yeye hatakuwa na right of audience zaidi ya mashauri yanayohusiana na halimashauri anayofanyia kazi.
Mkuu ni taratibu zipi za kisheria zinazoweza kuchukuliwa kwa mwanasheria wa aina hiyo? Kwa halmashauri, wizara ya serikali za mitaa au sheria na katiba ili kuthibiti utendaji mbovu wa watendaji wa aina hiyo.
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
7,043
2,000
Mkuu ni taratibu zipi za kisheria zinazoweza kuchukuliwa kwa mwanasheria wa aina hiyo? Kwa halmashauri, wizara ya serikali za mitaa au sheria na katiba ili kuthibiti utendaji mbovu wa watendaji wa aina hiyo.
Taratibu fupi na rahisi na kimripoti kwa mwajiri wake, ambaye ni mkurugenzi wa wilaya.
Pia waweza mshtaki kwa mwajiri mkuu - Katibu mkuu Utumishi.
Ukiwa wewe ni mwanasheria ni vizuri ukapeleka malalamiko kwa hakimu au jaji wa kesi husika, au kwa msajili wa mahakama ambako ndiko atashughulikiwa kitaaluma.
 
M

Mbenani

New Member
4
45
Please mkuu unaweza nisaidia hizo information and broadcasting policy za 1993,1972, na 2003.kama zipo maana nimeona mwanzoni mmeonyesha zipo mkuu!!
 
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
3,925
2,000
Taratibu fupi na rahisi na kimripoti kwa mwajiri wake, ambaye ni mkurugenzi wa wilaya.
Pia waweza mshtaki kwa mwajiri mkuu - Katibu mkuu Utumishi.
Ukiwa wewe ni mwanasheria ni vizuri ukapeleka malalamiko kwa hakimu au jaji wa kesi husika, au kwa msajili wa mahakama ambako ndiko atashughulikiwa kitaaluma.
Asante sana mkuu pongezi kubwa kwa wazazi waliokusomesha leo unatusaidia wengine
 
S

SHAFII HASSANI

Member
6
45
Wakuu nnaweza pata kitabu cha land law in tanzania mwandishi ni mgongo fimbo
 
R

Retired

JF-Expert Member
22,705
2,000
Mkuu mayenga baadhi ya vitabu vya Land Law hivi hapa, kwa anayetaka kitabu cha 'the Law of Real Property' cha R. Megarry na Wade ani pm nimtumie kwa email
Naomba kama una GN no.406 of 1985 uniwekee hapa tafadhali.
 
T

temu frank

Member
6
20
MR Dragon,
naomba unisaidie hili swali

According to proessor issa G Shivji;
''...the fact that constitution is a contract between majority(ruled) and the rulers (majority) is not correct either historically or legally,for there is no practical evidence that the ruled once sited together and negotiate acontract called constitution with the rulers....''
a)Argue for or against the cited quotation
b)explain whether Social Contranct has similar elements
of contract listed there to under the Law oContract Act,Cap345 of the law of Tanzania.
 
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
794
250

Mkuu tumia library. Otherwise utakuja kujuta! Fanya research, pitia vitabu. In short soma soma soma. Ukipewa majibu hapa hayatakusaidia!
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
2,978
2,000
MR Dragon,
naomba unisaidie hili swali

According to proessor issa G Shivji;
''...the fact that constitution is a contract between majority(ruled) and the rulers (majority) is not correct either historically or legally,for there is no practical evidence that the ruled once sited together and negotiate acontract called constitution with the rulers....''
a)Argue for or against the cited quotation
b)explain whether Social Contranct has similar elements
of contract listed there to under the Law oContract Act,Cap345 of the law of Tanzania.
Mkuu,

Hili swali kwanza jibu lake lina ambatana na case na principal/theory nyingi sana (Ningeshauri ARGUE FOR, usi argue against maana hoja zake utazidi kuzufanya ngumu)

Point za kuangalia, KIPENGELE "A"

1) Definition of Contract (a legal agreement between two or more parties, which is enforced by law. In any contract there is "OFFER" and "ACCEPTANCE OF OFFER") ****VERSUS*** Definition of Constituion (A mother of law, any law which is against the constituion is not binding/void/voidable)

*** In short, contract is an agreement, constitution is a law.

Point za kuangalia, KIPENGELE "B"

Kuna aina mbili za contracts,

1) Unilateral Contacts.
2) Bilateral Contract**

Katika BILATERAL CONTRACT kuna "OFFER AT PUBLIC, TO ENTER IN A CONTRACT"

Aina hii ya offer, mfano mtu ana tangaza biashara, hamjui "ATAKAE ACCEPT OFFER HII", na yoyote atakae kubali huko aliko atakua ameingia katika binding nature ya contract. (Contract to the public)

Hio ni structure, ila fanya research vizuri.
Nimeandika kwa haraka haraka hapo.
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
7,043
2,000
Hapa chini ni samples za MEMORANDUM AND ARTICLES OF ASSOCIATION.
cc sagaciR
 
Attachments

Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
7,043
2,000
MEMARTS samples zaidi hapa
cc sagaciR
 
Attachments

Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom