Ubabaishaji, uaji, uungu mtu na uzwazwa.Rais Samia ameshakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 5 kama Rais wa nchi yetu Tanzania hivyo ni jambo la busara kuanza kutahimini utendaji wake na kama kuna legacy yoyote atakayokumbukwa nayo siku hayupo madarakani.
Rais gani mwingine amewahi kuua raia wengi kama (au kuliko) yeye?Rais Samia ameshakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 5 kama Rais wa nchi yetu Tanzania hivyo ni jambo la busara kuanza kutahimini utendaji wake na kama kuna legacy yoyote atakayokumbukwa nayo siku hayupo madarakani.
HAPA HUTAWAONA WANAPITA KAMA WAMEKATWA MIKIA.1. Ujenzi zaidi ya kilometa 1,500 za reli ya SGR awamu ya tatu nne na tano
2. Ujenzi wa madarasa zaidi ya 8000 sekondari (Hakuna kukamata kuku au mifugo ya wananchi kuchangia ujenzi wa madarasa.
3. Uwanja wa ndege wa Kimataifa Dodoma
4. Viwanja vya Kimataifa vya mpira Dodoma na Arusha
5. Phase ya tatu, nne na tano BRT Mwendokasi
6. Hospitali za wilaya
7. Shule mpya za Sekondari kila wilaya
8. Kukamilisha phase one ya reli ya SGR kilometa 722 za awali (Dar hadi Makutupora) alizoanzisha JPM
9. Kukamilisha bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere bila kutetereka.
10.
11.
Kisiasa amekuwa imara kiasi cha kuweza kuhimili purukushani za wanasiasa wenye nguvu ambao wote wameishia kustaafu au kukaa kando wakiwemo:
1. Ndugai (Spika)
2.Tulia (Spika)
3. Mpango (Mkamu wa Rais)
4. Nchimbi (Makamu wa Rais)
5. Mbowe (Mwneyekiti Chadema)
6. Lissu (Mwenyekiti CHADEMA na muasisi wa vugu vugu la uasi la Oktoba 29)
7. Majaliwa (Waziri Mkuu)
8. Gwajima (Mbunge na mshawishi wa vugu vugu la uasi la na vurugu za Oktoba 29)
9. Kitima ( Padri na mshawishi wa machafuko ya Oktoba 29)
10. Nape (Mbunge mwenye kiburi)
11. Kinana (Mbunge na Katibu Mkuu CCM)
12. Makamba (Mbunge na Waziri)
Mi nakumbuka hata Magu tulimkosoaga sana ila badae watu wengi tunaona alikua rais mzuri sana kwa situation ya nchi yetu, nafkiri ni hivyo hata kwa Samia
Hizo zinaweza kua ni stori zinazojaribu tu kuenezwa ila ni tofauti kabisa na uharisia uliopo. Mana hata ufisadi tunaoambiwa unafanywa, kama ni kweli basi kusingekua na miladi ya kueleweka inayofanywa..wananchi watakuwa na huruma naye kama atakufa akiwa madarakani.
..lakini akistaafu 2030 atatengwa kana kwamba ni mkoma.
Na kumuuwa balozi PolepoleHAPA HUTAWAONA WANAPITA KAMA WAMEKATWA MIKIA.
13. UNUNUZI WA MAGARI MENGI ZAIDI HADI.
KWA TAASISI ZIKIZOKUA ZIMESAHAULIKA.
14. NDIO AWAMU MIKOPO YA ASILIMIA 1O KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU IMETOLEWA KWA WINGI NA IMEKUA NA TIJA.
15. KUBORESHA KWA KIWANGO KIKUBWA HUDUMA YA MAMA NA MTOTO SASA HIVI KIFO KWA MAMA AU MTOTO NI REHANI YA AJIRA KWA WAHUSIKA
Meli ya uvuvi kuelekea uchumi wa bluu.Rais Samia ameshakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 5 kama Rais wa nchi yetu Tanzania hivyo ni jambo la busara kuanza kutahimini utendaji wake na kama kuna legacy yoyote atakayokumbukwa nayo siku hayupo madarakani.
Mi nakumbuka hata Magu tulimkosoaga sana ila badae watu wengi tunaona alikua rais mzuri sana kwa situation ya nchi yetu, nafkiri ni hivyo hata kwa Samia
Hizi komenti zako zinaonesha unaakili ndogo sana.Hizo zinaweza kua ni stori zinazojaribu tu kuenezwa ila ni tofauti kabisa na uharisia uliopo. Mana hata ufisadi tunaoambiwa unafanywa, kama ni kweli basi kusingekua na miladi ya kueleweka inayofanywa
UnaushahidiNa kumuuwa balozi Polepole
Mobutu Sese Seko's Legacy Three Decades Later with Nzanga Mobutu
Few African leaders continue to inspire as much debate as Mobutu Sese Seko. Nearly three decades after his death, his legacy remains deeply contested, raising enduring questions about history, memory, nationalism, and the future of the Democratic Republic of the Congo.In this episode of The Africa Program Podcast, Mvemba Phezo Dizolele speaks with Nzanga Mobutu, son of the late Congolese president and curator of the landmark 2025 exhibition Mobutu: Une Vie, Un Destin at the National Museum of Kinshasa. Together, they explore why a new generation of Congolese is revisiting one of the country's most influential and controversial leaders.The conversation traces Mobutu's evolution from journalist and soldier to head of state, examining his role in shaping post-independence Congo during the Cold War. Nzanga reflects on the exhibition's effort to present a fuller picture of his father's life, including his diplomacy, the policy of Authenticité, nation-building, education, and the international forces that influenced the country's trajectory.The episode also explores the politics of historical memory, the challenges of documenting contested histories, and the importance of African voices in telling Africa's own story. Nzanga discusses the process of researching his forthcoming book, the response to the exhibition from young Congolese and political leaders, and why understanding Mobutu requires understanding the broader history of the Congo and the global dynamics of the Cold War.A thoughtful discussion on history, leadership, and the enduring legacy of one of Africa's most consequential political figures, and why how a nation remembers its past will shape its future. Source : Dizolele Advisory
Kama nina akili ndogo na ninaongea ujinga kwanini wewe usiongee point nisiyo ielewa ili kuonyesha ujinga wangu. Mbali na stori za hakubaliki mtaaniHizi komenti zako zinaonesha unaakili ndogo sana.
MhTunaweza kuangalia jinsi kwa uwazi nchi jirani zinavyotunza simulizi za legasi, na kupata picha ya legasi ya Samia itachorwa vipi
TOKA MAKTABA :
JINSI WAKONGOMANI WANAVYOANGALIA LEGASI YA MOBUTU SESE SEKO
05 AUGUST 2026
Washington, DC
Mobutu Sese Seko's Legacy Three Decades Later with Nzanga Mobutu
Urithi wa Mobutu Sese Seko Miongo Mitatu Baadaye na simulizi exclusive za Nzanga Mobutu (François-Joseph Ngbangawe Mobutu) mwana wa Mobutu
View: https://m.youtube.com/watch?v=MI9SMdLTGXo
Viongozi wachache wa Kiafrika wanaendelea kuhamasisha mijadala mingi kama Mobutu Sese Seko. Karibu miongo mitatu baada ya kifo chake, urithi wake bado unapingwa sana, na kuzua maswali ya kudumu kuhusu historia, kumbukumbu, utaifa, na mustakabali wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Katika kipindi hiki cha Podikasti ya Programu ya Afrika, Mvemba Phezo Dizolele anazungumza na Nzanga Mobutu, mwana wa rais wa zamani wa Kongo na msimamizi wa maonyesho muhimu ya 2025 Mobutu: Une Vie, Un Destin katika Jumba la Makumbusho la Kitaifa la Kinshasa.
Kwa pamoja, wanachunguza kwa nini kizazi kipya cha Wakongo kinamtembelea mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa na utata nchini.
Mazungumzo haya yanaangazia mageuzi ya Mobutu kutoka kwa mwandishi wa habari na mwanajeshi hadi kuwa mkuu wa nchi, akichunguza jukumu lake katika kuunda Kongo baada ya uhuru wakati wa Vita Baridi.
Nzanga anatafakari juhudi za maonyesho hayo za kutoa picha kamili ya maisha ya baba yake marshal Mobutu, ikiwa ni pamoja na diplomasia yake, sera ya Authenticité, ujenzi wa taifa, elimu, na nguvu za kimataifa zilizoathiri mwelekeo wa nchi.
Kipindi hiki pia kinachunguza siasa za kumbukumbu ya kihistoria, changamoto za kuandika historia zenye utata, na umuhimu wa sauti za Kiafrika katika kusimulia hadithi ya Afrika yenyewe.
Nzanga anajadili mchakato wa kutafiti kitabu chake kijacho, majibu ya maonyesho kutoka kwa vijana wa Kongo na viongozi wa kisiasa, na kwa nini kumwelewa Mobutu kunahitaji kuelewa historia pana ya Kongo na mienendo ya kimataifa ya Vita Baridi. Majadiliano yenye mawazo kuhusu historia, uongozi, na urithi wa kudumu wa mmoja wa wanasiasa muhimu zaidi barani Afrika, na kwa nini jinsi taifa linavyokumbuka yaliyopita kutaunda mustakabali wake.
Source : Dizolele Advisory
View attachment 3658615
Le chef de l’Etat Félix Antoine Tshisekedi à visité l’exposition une vie un Destin dediée au Maréchal Mobutu 2025 Exhibition Mobutu : Une Vie, Un Destin