Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,517
- 70,336
Hilo nataka nilifanyie utafitiVipi wale wavulana wenye GPA 4.0 na ni mbumbumbu kama mbumbumbu wengine?
Hilo nataka nilifanyie utafitiVipi wale wavulana wenye GPA 4.0 na ni mbumbumbu kama mbumbumbu wengine?
Nimekuelewa Sana tena sanaa.To be honest tunahitajika kuzungumza mno na hawa wasichana huko chuoni
Wanajirahisi kupita kiasi
Malecturer nao ni wanaume mashababi kuruka mitego ya hao wabinti ni Neema za Mungu
Yaani nawahurumia hao watakaotarajia kuoa hichi kizazi kilichopo chuo kwa sasa
Wanatumika mno jamani
mabinti wenyewe wanajirahisisha kwa wakufunzi, unakuta binti hasomi kafeli test one kafeli test two na group assignment huenda hajahudhuria.
Anamfuata mkufunzi na kumwambia mwalimu naomba nisaidie kunipa coursework nzuri jaman.Nipo tayari kwa lolote lile mwalimu jamaan. Nakuahidi.
Na sisi wanaume kama tujuanavyo ukishaskia hivyo baas kichwa cha chini kinaanza kufanya kaz cha juu kinakuwa kimevurugwa.
Na log out
Sent using Jamii Forums mobile app
Mods. napendekeza hii thread isomeke hivi "Sisi ma-lecturer wanaume tumekuwa wajinga sana kuwataka wanafunzi wa kike kimapenzi" halafu mjadala uanze upya....
Mie kila siku nasema ipo siku hili janga litakuwa wazi, afu sijui lawama itatupwa kwa nani. LolNa ndio hutumia huo udhaifu kukukomesha na hivi hakuna wakuhoji in short hyo tabia ni mbovu na ni kichefu chefu mno kwa kweli
Wee nijibu kwa staha bas, huu muhemko wako vipi? Kwani ukijibu kwa uratatibu tyuuh unapungukiwa nini? Km umeguswa poleeehAnakufelishaje? Hebu acha kupayuka kama mwehu!!!!
Chuo gani hicho Lecturer anafelisha mwanafunzi makusudi?
Unajua kwamba kila chuo kina idara ya QAB (Quality Assurance Bureau)? Unajua ina kazi gani?
Asante dada yangu. Hapa nilipo ni siri yanguDuuuuh poleeeh sana.
Sio Udsm hii?hiii kweli kabsa numeshawahi shuhudia binti akiliwa ofisini nikiwa kama mwanafunzi chuo kimoja hivi pale mjini Daslam.. daah ilikua 2016
Watoto wakike wapo kwenye hatari maeneo mengi Sana ya mapito yao ya maisha, siyo chuo tu, nimeshuhudia maeneo mengi sana kuanzia safari yao ya masomo ya primary Hadi kupata ajira kote ni hatari tupu na hii inatokana na mifumo mibaya ya elimu ktk nchi yetu,
Anapokuwa shule ya msingi na secondary wengi hurubuniwa na waalimu wenyewe na hata wauza chips na zaidi Sana Bodaboda kwa wale wanao soma Day haswa shule za kata zilizo vijijini,
Kwa wanafunzi wa vyuo vyoootee kuanzia certificate had masters hao ni chakula ya ma lacturers, ili apate GPA nzuri lazima aliwe, na katika hili mm nailaumu sana serikali kwa kuwaachia hao lacturers kutunga mitihani na kuisahisha wenyewe, viongozi wetu wengi ni wanawake sijui hawalioni hilo?
Wanapo enda Field huko nako wanakutana na changamoto za wakuu wa idara ama kazi, ili wapate ripoti nzuri lazima agawe papuchi kwa mkuu wa idara na pengine hata wasaidizi wao,na wengi hudanganywa kuwa baada ya field watapatiwa ajira eneo husika.
Wanapo enda Sasa kutafuta ajira huko ndiko balaa kabisa maana kama hugawi uchi basi ajira utaisikia kwa wenzako, namfahamu jamaa mmoja yeye ni manager wa kituo fulani kikubwa cha mafuta ambacho pia kinahusika na masuala ya Hotel's, yeye kila wiki anatoka na demu mpya kwa kuwadanganya atawapa kazi,wengi wanao enda omba ajira pale huacha no zao za cm na baadae jamaa anawatafuta private na kuwarubuni,
Kwahiyo kwa ujumla watoto wakike wapo ktk wakati mgumu kwa 80% ya maisha yao.
Siyo R ch*g@?Kuna Prof mmoja, msabato, chuo kikuu Fulani analamba vibint Kati ya miaka 19-22 zaidi ya hapo hapana.
Ungemtaja jina lake na chuo tungekuona wa maana..kutaja dini tu umeonyesha ulivyo mdini na mpumbafu.Kuna Prof mmoja, msabato, chuo kikuu Fulani analamba vibint Kati ya miaka 19-22 zaidi ya hapo hapana.
Anzisha mada ya hili dukuduku wewe.We umoena hao lectures pekee yao..mbona huseni.. wanafunzi wanaowekana kinyumba..kama.mmke na mume...mzazi unalipa ada..home mnakula.maharage miaka mitatu kusomesha kijana ama.binti kumbe chuoni ni mke wa mtu..anapikwa na kupakuliwa na wwnzake...
It's so hurt aisee...wanafunzi wengi wa vyuo now days wanasoma ngono ..mawazo na akili zao zimejaza ujinga
walimu ndio shida! angekamatwa mmoja afanywe mfano
hiii kweli kabsa numeshawahi shuhudia binti akiliwa ofisini nikiwa kama mwanafunzi chuo kimoja hivi pale mjini Daslam.. daah ilikua 2016