Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 35,655
- 57,671
And then being eaten alive!The chap's a natural hater!Can hate even "it's" mama for nothing at all.ππππππKitimoto needs to be eaten Asap
And then being eaten alive!The chap's a natural hater!Can hate even "it's" mama for nothing at all.ππππππKitimoto needs to be eaten Asap
Nigga is half-minded, no dis!And then being eaten alive!The chap's a natural hater!Can hate even "it's" mama for nothing at all.ππππππ
Katika kuendeleza dhima ya Uchumi wa viwanda wanafunzi wamemzawadia lecturer wao viatu na shati . Kazi ndo imeanza.
**Wakihojiwa wanaonyesha kufurahia tendo hilo.
Maybe is a lil' nut!Some prayers for the chap!ππππNigga is half-minded, no dis!
Ni wivu tu!!Hawakufikiria zawadi nyingine, utadhani dem wa kibongo anamzawadia bwanake siku ya valentine
anafundishia hapo hapo chuo au ni nje ya chuo??Anafundisha pia review classes za CPA
Azz-in-the-hell-hole!πππππKitimoto z an ass!
Ha haaa may beNi wivu tu!!
Review classes anafundishia pale chuo cha majianafundishia hapo hapo chuo au ni nje ya chuo??
TakbiiirWazazi tunalipa ada na pocket money mtoto apate elimu Bora kumbe hela ananunuliwa Mwalimu zawadi
Analipa Kodi?Review classes anafundishia pale chuo cha maji
Katika kuendeleza dhima ya Uchumi wa viwanda wanafunzi wamemzawadia lecturer wao viatu na shati . Kazi ndo imeanza.
**Wakihojiwa wanaonyesha kufurahia tendo hilo.
Asante mamyReview classes anafundishia pale chuo cha maji
ShidaaInaonekana hapa special zilikuwa nyingi Sana
Wanalipa kodi ya pango kwa chuo cha maji, na hawafundishi kila siku wanakuwepo pale jumamsosi na jumapili tuAnalipa Kodi?