Lecturer UDSM azawadiwa na Wanafunzi

Kwa nini wanafunzi wasiandike hata kitabu kuanzia mwaka wa kwanza, wakifika mwaka wa tatu wanamzawadia mwalimu bonge la kitabu!
 
Hakupaswa kupokea hiyo zawadi kwani kama mtumishi wa umma Kuna taratibu za kupokea zawadi ili isije ikawa rushwa.Ni hatari sana tukiendekeza tabia hii.Wangempa kwenye mahafali ya kumalizia ninsingekuwa na neno sana Ila hili wahusika walikemee.
 
Hiyo ni rushwa aisee, wanafunzi wamejiongeza ili awe anawapa maksi za upendeleo. Wanafunzi Wana akili sana lecturer apewe into Kali aisee including suspension na asifundishe hilo darasa mpaka watakapomaliza.
 
Ndo kilichowapeleka hapo kutoa zawadi kwa mwalimu kipindi wangali masomoni, kwa nini hiyo zawadi wasiitoe siku wanapohitimu masomo......TAKUKURU fuatilia kukomesha hii tabia.
Hakuna kitu kama icho,huoni hapo darasani wanafunzi wamejaa hii inaonyesha ni namna gani mwalimu amejitoa kwa ajili yao,halafu inawezekana huyu ticha maisha yake ya kwao enzi anasoma alipitia changamoto kubwa wakati wake wakusoma ndio maaana anaamua nayeye kujitoa ili awe daraja la watu wengine kupita na sio kuwa sehemu ya kuwaangamiza wenzako
 
Unalosema inaweza kuwa kweli, lakini katika mazingira ambapo unategemea mwalimu asitoe upendeleo bali mwanafunzi afaulu kwa jitihada zake katika masomo, hatutarajii wanafunzi watoe zawadi ya aina yoyote kwa mwalimu, labda kama zitatolewa baada ya wanafunzi kuhitimu masomo yao, simply because zawadi za aina hiyo zinaweza kumsukuma mwalimu awe na upendeleo uliovuka mipaka kwa hao wanafunzi.......yaani zinajenga mazingira ya rushwa.
 
Ilikuwa wasifanye hivyo.

Lakini piaa walimu wengine wanaowafundisha hao wanafunzi watajiskiaje aiseee.
 
Back
Top Bottom