Lecturer UDSM azawadiwa na Wanafunzi

Inapendeza sana,Nasikia hata yule Prof Assad aliyekuwa cag wakati akiwa Leacture hapo Udsm alikuwa analipia watu ada,ama mambo madogo madogo ambayo mwanafunzi wa hali ya chini anakuwa ameshindwa kuyapata,so walimu wenye upendo wa kujitoa wapo na iyo ndio faida ya kuwa mwema

Assad ni mujahiddin hivyo hakuwa anawalipia makafir bali alikuwa anawasaidia waislam wenzake wa MUSAUD!!!
 
Walimu wengine watanuna na roho zao mbaya kujiona ma lecturer

ni kama wafayakazi wa benki ya dunia,nyodooo kibao wanataka kulambwa mpk miguu

anaefanya vizuri apongezwe hata kama ni kidogo,zawadi hutoa somo zuri sana kwa wengine.
 
Assad ni mujahiddin hivyo hakuwa anawalipia makafir bali alikuwa anawasaidia waislam wenzake wa MUSAUD!!!
Hapo wewe unazungumzia udini,mie nimesemelea kusaidia wanafunzi wenye hali ngumu
 
Wanafunzi zaidi ya 50 wametoa zawadi ya shati, mkanda na kiatu. Walichangishana shingapi?
 
Huyu mwalimu watu wanaohusika mimi nashauri wamwangalie kwa jicho la kipekee pengine anaweza akaja akatufaa sana kama kiongozi wa ngazi za juu ndani ya nchi yetu, huko mbele ya safari. Watoto wa rika hili huwa siyo rahisi sana wakampenda mtu kwa bahati mbaya tu; huyu mtu lazima atakuwa ana qualities za kipekee sana ambazo watu tulio wengi hatuna. Mungu ambariki sana mwalimu huyu
hii comment yako mtu akisoma bila kutabasamu na ku-like atakuwa shetwani
 
Back
Top Bottom