Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,081
Tulikuwa na Lecturer wetu yaani kufundisha ni bora liende tu.Course work zinachechemea, wametoa rushwa TAKUKURU chunguzeni ili.
Muda mwingi alikuwa na Laptop yake anafanya mishe zake za pembeni.
Kwenye courseworks alikuwa anabandikia kila mtu "A".
La msingi ni wewe kupambania utusue kwenye UE.