Lecturer part 2

Baada ya kesi hii kuisha ninaomba asasi zinazohusika kumpata na kumtangaza mwanamke jasiri, basi 2013 missstrong zimtangaze kuwa mwanamke jasiri na dunia ijue.Hii itasaidia kuwatia moyo wadada wengine.
 
Hawa wamendeaji n hatar sana ndo maana jana mbunge kasema 2we na chuo kuwafundsha wanaume zege
 
Hawa wamendeaji n hatar sana ndo maana jana mbunge kasema 2we na chuo kuwafundsha wanaume zege

Yeye sio zege ila anaForce vitu na mbaya zaid anajitapa kuwa mimi ndo mwenye shida.
 
Kwa jinsi ninavyoujua utendaji kazi wa kibongo, nahisi kama kazi unayo!
 
Dada wewe mwanaharakati wa ukweli.Hongera.Ila kuna visistaduu uchwara vitakuona nuksi kweli kwani unavipeperushia ndege wao.
 
Tuko pamoja miss strong
 
Last edited by a moderator:
Itakapobidi sina jinsi............na ndio maana wakuu wake wamesema wapo heri hata nguo zipimwe.Si anaweza yy akahisi amedharirishwa?Mzazi wangu pia anasubiria majibu ya chuo.
DNA test kwenye nguo? hope watafanikiwa.Wakishindwa sijui itakuaje.Je, ulifanikiwa angalau kumuwekea alama yoyote wakati mnapambana, au kuchukua hata unywele tu? Hapa naaangaliwa uzito wa evidence mahakamani, kuhusiana na kubaka.
 
Dada wewe mwanaharakati wa ukweli.Hongera.Ila kuna visistaduu uchwara vitakuona nuksi kweli kwani unavipeperushia ndege wao.

Mpaka sasa hata baadhi ya wanaume wameniona mm nuksi lkn all in all ni hak yangu nahitaji.Kama yeyote anaweza kutoa anachokimiliki kwa mwalimu il mm nipate hak yangu bac nitasamehe.
 
DNA test kwenye nguo? hope watafanikiwa.Wakishindwa sijui itakuaje.Je, ulifanikiwa angalau kumuwekea alama yoyote wakati mnapambana, au kuchukua hata unywele tu? Hapa naaangaliwa uzito wa evidence mahakamani, kuhusiana na kubaka.

Niliogopa kujikuta hata kumtia ukucha coz nilishapata tetes kuwa afya yake wanaitilia shaka kwahyo nilikuwa najihami sana.Kwahiyo sikuweza kufanikiwa.
 
Mwanangu miss strong,hakikisha unathibitisha kesi yako.Ukishindwa kufanya hivyo,huyo Mhadhiri atakushtaki kwa kumdhalilisha(defamation). Kama pana ugumu mahali popote,wasiliana nami kwa PM ili tuyaweke mambo sawa. Sikia na uelewe!
Ni kweli, hii kesi ni ngumu. I hope ile CD aliyomrekodi itamlinda.Pia kama kuna wanafunzi walishawahi kumtuhumu huyu jamaa, itaongezea uzito kwenye hii case.
Ila jamaa angekuwa ameandaliwa mtego hii kesi ingekuwa rahisi zaidi.
 
Sina uhakika na usahihi wa njia unayoitumia kutatua tatizo hili, linaweza kukuleta matatizo zaidi kuliko kutatua. Nadhani kungekuwepo na njia bora zaidi ya kushughulikia swala hili, kila la heri lakini.
Sasa unamkatisha tamaa na kumuacha hewani ...... ! Afadhali ungetoa ushauri wa njia uionayo wewe kuwa ni sahihi .......!
 
Ni kweli, hii kesi ni ngumu. I hope ile CD aliyomrekodi itamlinda.Pia kama kuna wanafunzi walishawahi kumtuhumu huyu jamaa, itaongezea uzito kwenye hii case.
Ila jamaa angekuwa ameandaliwa mtego hii kesi ingekuwa rahisi zaidi.

Tulifikiria kufanya hivyo ila halihisi kbs kuwa naenda kureport....kurud kwangu tena mara ya pili alishituka.Tulijaribu kufanya hivyo lakin alikuwa mtu wakukwepa.Anajua hasa nn anafanya huyu jamaa ni mjanja sana.
 
atakuwa ni mzoefu katika tabia hii,itakuwa rahisi kumshitaki kwa kosa la kukutaka kimapenzi, ila kosa la attempt ya kukubaka linaweza likakosa ushahidi wenye nguvu, labda wataalamu wabahatishe nywele zake kwenye hizo nguo.au kama aliumia damu ikaingia kwenye nguo zako
 
Safi sana mdogo wangu....

Hakuna thamani kubwa kwa mwanadamu tena wa kike kama kupigania haki ya kutodhalilishwa....

Kwa kufanya hayo, umejitendea haki wewe na kikazi chako, bila kujali kwamba wanaokuzunguka ni wadau au washiriki wa udhalishaji huo..

Hata ukihisi kuwa umeshindwa, mie nasema kuwa tayari umeshinda kwa kiwango kikubwa.

Kazi buti umalizie hiyo ngwe..

Mungu akubariki na kukusimamia...

Babu DC!!
 
Yeeaaah hilo sijalifahamu vizur lkn tutapata jibu tu ya hayo yote.Anajitapa sana.....alafu ananiangalia jicho baya kama sijui kitu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…