Ritakahama
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 758
- 411
Kwa upeo wangu my dear nakushauri for the time being usiendelee kuiandika kwanza hii habari mtandaoni kama pressure mapak hapa ushapresulize vya kutosha.Nina sababu nyingi za kukuleza hivyo sitaweza kuandika ila kisheria unaweza ukawa unajeopadize(sijui neno zuri la kiswahili Ruttashobolwa utanisaidia)some evidence and facts halafu pia bwana adui hatakiwi kujua the weapon you possess so for the time being pambana kimya kimya,ukikwama tayari ushaona watu hapa ambao u can consult them thru pm
Hongera..
endelea hivyo hivyo
atakuogopa milele hata kama asipochukuliwa hatua
tayari umeshatoa statement hapo
tunataka pia tuangalie DNA ya mlalamikiwa kwenye nguo za mlalamikajiKama kuna kati ya hizo yenye kishkizo , mkanda au sehemu yeyote yenye ugumu kama plastik au chuma au ngoz fingerprints zitaonekana...
Kumbe ni chuo hiko chenye uongozi mpya!pole sana mdada!komaa ili ashikishwe adabu.
inawezekana unasoma sheria..enh? maana kwa kusema hayo uliyosema hapo juu design ume speak kama learned friend hivi..daaah..Nitakapotaja chuo kwa ss italeta taharuki sana na hata wakuu wakashindwa kufanya wanachokikusudia.Ila pale itakapodi kufanya hivyo bas sina jins
inawezekana unasoma sheria..enh? maana kwa kusema hayo uliyosema hapo juu design ume speak kama learned friend hivi..daaah..
Sina uhakika na usahihi wa njia unayoitumia kutatua tatizo hili, linaweza kukuleta matatizo zaidi kuliko kutatua. Nadhani kungekuwepo na njia bora zaidi ya kushughulikia swala hili, kila la heri lakini.
Kwa upeo wangu my dear nakushauri for the time being usiendelee kuiandika kwanza hii habari mtandaoni kama pressure mapak hapa ushapresulize vya kutosha.Nina sababu nyingi za kukuleza hivyo sitaweza kuandika ila kisheria unaweza ukawa unajeopadize(sijui neno zuri la kiswahili Ruttashobolwa utanisaidia)some evidence and facts halafu pia bwana adui hatakiwi kujua the weapon you possess so for the time being pambana kimya kimya,ukikwama tayari ushaona watu hapa ambao u can consult them thru pm
Ni wakati wakutoa njia mbadala!
Hebu toa hiyo njia mbadala mkuu[/QUOTE
kwa lilipo fikia nishauri tu kwamba sasa liachwe kwa hizo mamlaka alizolifikisha hapa mtandaoni lisiletwe mpaka hapo baadae hatua zitakapo kuwa zimechukuliwa kikamilifu.