Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

unabii wetu umetumia kama alifanya kwa kutokujua pole ulimbukeni pia pole ,nilimwambia hizi picha zitakukost kama unataka kuwa mwansiasa.wana JF TULIMWAMBIA AKAJIBU NYODO

William Malecela na Wabunge wa Chadema Kushoto Mheshimiwa Nassari na Kulia Mheshimiwa Mbilinyi (Sugu); Bungeni Dodoma.
awzoDOAAU10vYehMMTMYDvbgOBUASkb2bm9HKiwYaKvKAjFBbA30AAuJhQYNALTY0sACG1sQQQhagWJEgI8gQwaoMWjHGRYDUqpU6UXCoAgwMnQ4QLPmgSUcRDSKEOVDgZ9Af0J5EwgAOw==

WJM ni celebrity wa aina yake hata humu JF. Isiwe nongwa anapokutana na celebrities wenzake wa hapa Bongo ikizingatiwa pia kakaa nje muda mrefu ana kiu na WATANZANIA wenzake. Sidhani kama anakwenda mbali zaidi ya hapo tunapomwona. Hata umbo lake halimpi nafasi hiyo!
 
He must have a very serious psychosocial problem which he is trying to hide or fight against social prejudice. Who is certain about his sexual orientation???? This is a very deviant behavior for someone wishing to be leader in this society.

[h=3][/h]

[h=3]MGOMBEA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI WILLIAM MALECLEA AKIWA NA MH. LOWASSA KATIKA HARAKATI ZA KAMPENI YAKE...!!![/h]
 
WJM ni celebrity wa aina yake hata humu JF. Isiwe nongwa anapokutana na celebrities wenzake wa hapa Bongo ikizingatiwa pia kakaa nje muda mrefu ana kiu na WATANZANIA wenzake. Sidhani kama anakwenda mbali zaidi ya hapo tunapomwona. Hata umbo lake halimpi nafasi hiyo!

William Malecela juzi alipowatembelea wabunge wanaopenda Simba kwenye vyumba vyao vya kuvalia Uwanja wa Taifa kabla ya mchezo wao wa Jumamosi; juu ni Mh. Zitto na chini ni Mheshimiwa Neema Himid!!
anajua staili nzuri anamwinamia mwanamke vizuri kweli kweli
 
anajua staili nzuri anamwinamia mwanamke vizuri kweli kweli

[h=6]William J. Malecela

[/h][h=6]‎@ W'S EXPERIENCE: MY PEOPLE PLEASE, ENOUGH MESSAGES NA SIM ZA KUHUSU SOME GAZETI AMANI SOMETHING I HAVE NO CLUE, I MEAN I GOT A LOT OF IMPORTANT THINGS TO DO, JUZI TUMEFANYA A GREAT FUNDRAISING YA WATOTO WA YATIMA DODOMA NA SASA TUNAJARIBU KUFANYA ANOTHER ONE KWA AJILI YA MFUKO MAALUM KUSAIDIA WATOTO WA MAA-ALBINO!![/h]facebook
 
Wasikubabaishe WJM. WanaSIASA wazuri kabisa tuliopata kuwa nao hapa TANZANIA na kwingineko duniani walikuwa watu wa watu sana tu:
-Rashid, Pius, Mark, Jakaya, Wilbroad,..., ni mifano michache hapa nchini;
-Clinton, Berlusconi, Blunket,..., nao wamo.
 
Hizi habari za mageziti ya udaku hazimpi tabu huyu jamaa, ila naamini hao kina dada kwenye picha husika watakua wanajuta kupiga picha naye,
Le big celeb @ kivukoni
Hahahahahahahhahaha

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
William J. Malecela

‎@ W'S EXPERIENCE: MY PEOPLE PLEASE, ENOUGH MESSAGES NA SIM ZA KUHUSU SOME GAZETI AMANI SOMETHING I HAVE NO CLUE, I MEAN I GOT A LOT OF IMPORTANT THINGS TO DO, JUZI TUMEFANYA A GREAT FUNDRAISING YA WATOTO WA YATIMA DODOMA NA SASA TUNAJARIBU KUFANYA ANOTHER ONE KWA AJILI YA MFUKO MAALUM KUSAIDIA WATOTO WA MAA-ALBINO!!

facebook
MKUU SIO MAA-ALBINO UNAONEKANA HUJAKOMAA AKILI WANAITWA WENYE ULEMAVU WA NGOZI TUMIA LUGHA NZURI KIDOGO.sasa mbona huandiki lemutuz big show @ new york,unaandika FACE BOOK.ushafulia tena maneno yote kwishaaaaaa .JIBU TUHUMA HIZO wacha kutuzuga kila siku na fundrising hapa MAPICHA CHAFU HUKO SITULIKUAMBIA UTAJIAIBISHA UKATUJIBU NYODO OUNA WAJANJA WASHAKUZIDI KETE WALIZITOA HUKUHUKU JF ULIKOKUWA UNATURINGISHIA NA TOTOZ ama kweli paka kipofu hula panya waliokufa .
 
Ha ha haaa. Le Mutuz, juzi kwenye thread yako kila post ulijaribu kuijibu, leo hii wamekushika pabaya, kiiimyaaa!
Nyerere Keshawahi Kusema , Hatuhitaji Viongozi Wahuni Wahuni, huna sifa za kuwa kiongozi wewe zaidi ya kufuata mkumbo kisa baba yako alikuwa kiongozi!
 
MKUU SIO MAA-ALBINO UNAONEKANA HUJAKOMAA AKILI WANAITWA WENYE ULEMAVU WA NGOZI TUMIA LUGHA NZURI KIDOGO.sasa mbona huandiki lemutuz big show @ new york,unaandika FACE BOOK.ushafulia tena maneno yote kwishaaaaaa .JIBU TUHUMA HIZO wacha kutuzuga kila siku na fundrising hapa MAPICHA CHAFU HUKO SITULIKUAMBIA UTAJIAIBISHA UKATUJIBU NYODO OUNA WAJANJA WASHAKUZIDI KETE WALIZITOA HUKUHUKU JF ULIKOKUWA UNATURINGISHIA NA TOTOZ ama kweli paka kipofu hula panya waliokufa .

- JAMANI NIACHENI NIPUMZIKE! HA! HA! HA! HA! HA! HA!

BIIG SHOOW! @ kIVUKONI; DSM!!
 
ha ha haaa. Le mutuz, juzi kwenye thread yako kila post ulijaribu kuijibu, leo hii wamekushika pabaya, kiiimyaaa!
Nyerere keshawahi kusema , hatuhitaji viongozi wahuni wahuni, huna sifa za kuwa kiongozi wewe zaidi ya kufuata mkumbo kisa baba yako alikuwa kiongozi!

- ha! Ha! Ha! Ha! Unsema le big show! Le baharia! Le mutuz! Ha! Ha! Powa niacheni nipumzike!! Ha! Ha!

Le mutuz!!
 
Back
Top Bottom