Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

The guy looks more of a celebrity than politician u cant expect to have political ambitions while spendin time and takin fotos with whorez... Its not a gd image

Mbona mambo ya kawaida tuu haya? Tena ndiyo amejizidishia chati hapo.
 
Binafsi nilikua nampinga sana huyu jamaa mpka akaniblock kweny page yke insta,but nimekuja kugundua kitu the most anavyotukanwa na kusemwa vibaya yeye ndo furaha yke,the man amechagua kuwa mtu wa social media so vyovyote atakavyo andikwa yeye ndo anafurahi kwa kua lengo lake linatimia so msipoteze muda wenu...jamaa ana akili kubwa ya kucheza na wajinga...sio km hajitambui...ukisoma historia yke utagundua mengi sana.
 
Sure, ila jamaa anaroho ngumu sana tofauti na binadam wengine, ile 'punch' ya video ya kibamia ingeweza kumuangua binadam yeyote yule wa kawaida, ila kwake yeye haijaweza kumuangusha still ana move on duh
 
Na hiyo ushahidi tosha kwamba Le mutuz anapenda kuongelewa mitandaoni iwe kwa ubaya au uzuri ye anafurahi kwa kuwa malengo yake yanatimia,usktue hata ishu yenyew aliiratibu mwenyewe hahahahaaa
 
Nimemsoma ,nimemtafakari, na nimemuelewa ukiondoa chuki, tujifunze kukubali kile ambacho MTU anajielezea na ana kiishi.kuliko kumuelezea ww na kulazimisha ndio ANAVYOISHI.

Ameeleza wazi, yeye amekaa na kuishi MAREKANI kwa muda mreeeefu kuliko hapa TZ na wakati anatoka hapa BONGO alikuwa anapenda kuishi kama NIGGAZ wa kule USA na alipokuwa kule alifanikiwa kuyaishi maisha Yale KIUHALISIA.

Anatufundisha kuwa USA matangazo yote ya kibiashara kwa asilimia kubwa wanapenda kutumia WASICHANA WAREMBO kuweka picha zao. MF MTU anauza gari ataweka picha ya gari na msichana mrembo.

Hstuelewi nn au tunaweka chuki kwenye uhalisia tumpinge kwa hoja, anayo ofisi yake kweli nimesikiliza mahojiano ya Jirani zake wanakiri wabebezz wanafika kwa wingi kwenye ofisi za LE MUTUZ lkn kwa ajili ya shughuli za kikazi zenye faida kwa wao na LEMUTUZ.

Kwa uelewa Mdogo tu LE MUTUZ ana wapromote warembo ili watumike kibiashara. Maeneo mbalimbali.

Lkn ss mawazo yetu na kugandamiza akili tupo zaidi kwenye ngono. Tujiulize picha mbalimbali za warembo wakionekana kwenye bidhaa mbalimbali zinatoka wapi?

Au ukitaka kuweka tangazo la kibiashara lenye picha ya mrembo utaitoa wapi? Nakurahisishia nenda kwa LEMUTUZ katurahisishia. Tukiiachia fursa wageni wanaitumia na kutajirika.

Big up LEMUTUZ
 
Atleast wewe umewaza nje ya boksi.
 
Back
Top Bottom