Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

Kweli Ukubwa wa mwili ni bure kabisa.... Wenye miili like Late Umaga akili hamnazo kabisa.... Ujinga wa mtu is self explanatory through his ACTS, WORDS etc....
 
Duh, huwezi jua ndugu yangu, usikute labda hiyo ndo staili yake pendwa ya upigaji picha manake naona kama staili zote zinafanana! Nadhani ataingia tu hapa kutoa ufafanuzi kwa ile staili yake ya kuchanganya lugha tofauti tofauti kwenye andishi moja.

Le Mutuz ni waste material ktk uongozi wowote. jamaa ni mweupe kichwani asikwambie mtu kamanda ila tu anajaribu kusafiria nyota ya mshua na kujipendekeza kwa Dhaifu ambaye alikwisha itosa familia yao kitambo. Kumbuka mama yake mdogo alijaribu kupambana na Dhaifu kwa kelele nyingi baadaye akazima mwenyewe na siku hizi kaufyata yuko kimyaaaaaaaaaa
 
mwacheni baharia ale raha....

si mnajua tena baharini hakunaga hivyo vitu..sasa kaja nchi kavu kila kipitacho kwake kina mvuto.
 
mi nimependa hilo shati lake. kila sehemu analo. safi sana.
 
Muacheni jamani ale bata, labda huko alikokuwa hakukuwa na vitu kama hivi.
 
Kweli wakuja ni wakuja tu!
DAH HILI ZEE hivi lilikuwa wapi enzi za ujana wake mbona linatia aibu sana CCM na SERILKALI yake. yaan linabebwa lakini halibebeki! tunajua CCM ni mbovu lakini huu ubovu mwingine unachangiwa na wasaidizi wake kama hawa. yani nasikia kichefuchefu kutokana na tabia za huyu mkora.
 
Kweli wakuja ni wakuja tu!

kwenye kujichanganya na wananchi huwa sichagui wala sibagui wananchi kwa sababu ya uwezo wao au gender zao, wenye hayo matatizo kwenye hii jamii ya kuwadharau wanawake poleni sana nilipokuwa nje nimefundishwa kwamba binadam wote ni sawa tu na wote ni muhimu sana kwa taifa, kuwaongoza ni lazima uwe samba mba nao, naona wengi wenu mnaamini wanaume tu ndio watu wanawake sio watu, so tuna kazi kubwa sana kurekebisha hili taifa watu wawe na the right mind za kisasa zinazokubalika na Dunia nzima.

Willie!!

Ndo upige pige picha hovyo na dada za watu ? anyway, labda nyie mila zenu zinaruhusu, sie katu katu !
 
kwenye kujichanganya na wananchi huwa sichagui wala sibagui wananchi kwa sababu ya uwezo wao au gender zao, wenye hayo matatizo kwenye hii jamii ya kuwadharau wanawake poleni sana nilipokuwa nje nimefundishwa kwamba binadam wote ni sawa tu na wote ni muhimu sana kwa taifa, kuwaongoza ni lazima uwe samba mba nao, naona wengi wenu mnaamini wanaume tu ndio watu wanawake sio watu, so tuna kazi kubwa sana kurekebisha hili taifa watu wawe na the right mind za kisasa zinazokubalika na Dunia nzima.

Willie!!

nje ulienda ukiwa na miaka mingapi mzee!!,....swala la kujua kuwa binadamu wote ni sawa nalo liliitaji kwenda kujifunzia nje ya nje ya nchi?
 
...umeamua kutoa picha yako uliyokuwa umeifadhi ili uje uitoe kama kashifa juu ya Zitto pale atakapo chukua nafasi muhimu ktk nchi hii hapo 2015.

atahivyo huyo demu ni kama alimvamia Zitto ili naye anaonekane akicheza mziki na mtu mzito na inawezekana we ndo ulisakizia demu afanye hivyo ili nia yako itimie..
 
Kwani Ufikiri wa Mutuz na Hayo yanayoandikwa kwenye Magazeti yanatofauti ? yeye mwenyewe kakaka kiudakuudaku , Hahaaaah ! Babake kala Hasara , Analia Akimkumbuka Marehemu Ipi, RIP.
 
kwenye kujichanganya na wananchi huwa sichagui wala sibagui wananchi kwa sababu ya uwezo wao au gender zao, wenye hayo matatizo kwenye hii jamii ya kuwadharau wanawake poleni sana nilipokuwa nje nimefundishwa kwamba binadam wote ni sawa tu na wote ni muhimu sana kwa taifa, kuwaongoza ni lazima uwe samba mba nao, naona wengi wenu mnaamini wanaume tu ndio watu wanawake sio watu, so tuna kazi kubwa sana kurekebisha hili taifa watu wawe na the right mind za kisasa zinazokubalika na Dunia nzima.

Willie!!

yaani wewe kijana una matatizo kweli kweli ..hivi hujioni au hakuna watu wa kukushauri? au ndo tabia za wagogo..hivi unalala saa ngapi kutwa unalegeza mimacho tu na mabinti kama toto la sekondari...aaaagh
 
na hapa je

images

Back
Top Bottom