Le mutuz akiwa na huzuni kali msibani

Le mutuz akiwa na huzuni kali msibani

Na tumbo lake lilivyo kubwa afanye hata diet awe kama MO ndo akae na hao watoto, jamaa anatafuta umaarufu kwa shida sana ,wakati mzee alikuwa madarakani alikuwa anakula bata

MO yule wa nigeria au?hahaaaa
 
Kuna kijiji chao cha picha (instagram) mtafute kule ndo utamjua, kila picha ni wanawake mabinti za watu tena wadogo, sijawahi kuona hata amsifie mke wake kama anavyo sifia wapenzi wa wenzake.
Hatumuelewi hata huko misibani iwe ni club ye makundi yake wasichana,

Mie nauliza huyu sio Mtoto rizki kweli ? Maana ukimuona Mtoto wa kiume na mabinti kila wakati ni maswali ya kujiuliza
 
...hilo jamaa si limetimuliwa na nbc...?
 
Nilimwona nyingine akisalimiana huku jino hadi la 32. Babu celebrity
 
Le mutuz ndo the big show live. mzee wa mabibiez wa ukweli, He is above 50 lakini kichwani is below 10, swali lingine kama hujamjua?

mm hata simjui.
Hvi ndio takataka gani huyo mnayemzungumzia?
 
Ukitaka ustaajabu ya mussa mfollow kule Instagram aisee nacheka sana yaani utadhani under 20 sifa sifa dah kweli binadamu tupo tofauti!

Aiseeeeee!!! Nimecheki Instagram yake ni nooma, kie kie kid
 
Naona bado anavaa MUNYORORO shingoni....like a slave

Chained-Slaves-006.jpg
ha hahahhahahah hahahahahah huyu jamaa eti ndie mwenyekiti wa wazazi huko ccm...
 
Le mutuz ndo the big show live. mzee wa mabibiez wa ukweli, He is above 50 lakini kichwani is below 10, swali lingine kama hujamjua?
huyu jamaa akiigiza uchekeshaji ata fit vizuri sana kina Mr. Bones wamtafute maana hana tofauti na yule jamaa aliyeigiza na Mr Bones yule jamaa wa Kuvukiland...
 
hahahaaaa ze wabebez wa ukweli ndani ya bongoz yu knoz, hahaaaaaa kibiriti ngoma
 
Back
Top Bottom