Le mutuz akiwa na huzuni kali msibani

Le mutuz akiwa na huzuni kali msibani

Asante Kwa Kuliona Hilo Kwani Hata Mimi Pia Limenikera Kwani Badala Ya Kusikitika Lenyewe Linacheka Tu Na Hao Vinchechede Wake. Waswahili Tuna Tabu Kweli Na Hizi Sifa Sijui Lini Tutaziacha. Hivi Kweli Umefiwa Na Mdau Halafu Wewe Unakenua na Hadi Kutabasamu? Hivi Hata Hiyo Nguvu Inatoka Wapi? Le Mutuz Ni Simba ( MBUMBUMBU ) Mwenzangu ILA ktk Hili Hata Mimi UMENIBOA!
ilo jamaa jinga sana
 
Huwezi kuwa superstar kama watu hawakuongelei, big up to lemutuz.
 
Duh,ndiye huyu ambaye huwa anaandika pumba jukwaani.Kweli Mungu kaumba jina lake lihimidiwe.Yaani hafanani kabisa.
 
mwanaume wa shoka! na wewe IQ yako tafadhali!!
Kwahiyo wewe wa shoka, hufanyi kazi mpaka utiwe mpini kwa nyuma? nakutania mzee sina maana hiyo unayofikiri
 
Duh,ndiye huyu ambaye huwa anaandika pumba jukwaani.Kweli Mungu kaumba jina lake lihimidiwe.Yaani hafanani kabisa.
What? unamzungumzia nani sasa hapo? isije ukawa unamzungumzia Le Mutuz ndo unasema hivyo !!!
 
Back
Top Bottom