everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Unafanya nikumbuke honeymoon yangu ya miaka 3...nimekuwa na house girl baada ya kupata mtoto ambaye tulimpata miaka 3 baada ya ndoa...
Lakini tuliweza kukaa bila housegirl sababu mimi si mvivu na mume wangu hana u bossy wala masharti kama IMF....
Japo ndugu zake walikuwa wananisifia maana wakija home wanashangaa kila kitu kiko kwenye mstari na sina house girl....
Lakini sijawai msikia honey wangu akisema kanipenda sababu nachapa kazi; zaidi ya kusifia msosi naopika...kanipenda sababu penzi langu lilimzingua...ni mawifi na mama mkwe ndio walikuwa kutwa kunisifia...wanashangaa na elimu yangu hakuna kazi nisoijua...na wao ndio walikuwa wamekazana wifi tafuta house girl...kumbe walikuwa hawajui kuwa hatukuwa tunataka viwingu...tuna make love everywhere jikoni, sebuleni, chumbani....
Na mume wangu alikuwa ananisaidia..tunafua wote (those days machines zilikuwa anasa)...siku nyingine alikuwa anapika..maana anajua sana kukaangiza dagaa na mimi nimejifunza kwake...Mungu anipe nini...fuko la chawa....
Imagine mumeo anasema nimekupenda sababu unajua kupika...umeoa house helper? jamani wanaume jitahidini kuwa loving...punguzeni hizi attitude za list ya masharti
Kula like 10000000,Waambie hawa vijana vipi?wanawake hatufati kwao misosi kwani tulikuwa hatuli kwetu,wala siyo kufua kwani sisi washing mashine? Sisi siyo mahouse helper,tumekutana kumake love hayo yote yanakuwa ni ziada,penzi la kweli likiwepo kutoana kasoro kunatoka wapi? kama mkeo anafanya namna ile ambayo si nzuri anaelekezwa kwa upendo na yeye atafanya kwa bidii kwani anajua ndo namna mumewe anafurahi.