Lazima nicheat kama mke hajui kupika

Lazima nicheat kama mke hajui kupika

Mke ni mke tu jamani. Mbona wanawake wa kichaga hawajui kupika kitu chapati lakini wanaolewa. Natanguliza samahani za dhati...
 
Mimi hiyo ni sheria ya kwanza.
Lazima ujue kupika
 
mfano kakaa kwao zaidi ya miaka 20 halafu kupika unamwelekeza tena?

Ndiyo hata kama kakaa miaka 30 hajui namna ile wewe unapenda yeye anajua vile kwao walivyozoea,mfundishe namna unayotaka
 
msosi mzuri kila mtu anaupenda,hakuna namna nayopenda zaidi ya mapishi ya kawaida
 
Mimi hiyo ni sheria ya kwanza.
Lazima ujue kupika

Kumbe unaoa jiko na si mke? Ndo maana ndoa nyingi majanga,haya basi Utapata jiko ambalo litakukaangia vizuri sana lakini mengine utaisoma namba.......
 
Mwenzanguu... niliyasemaga hayo jamani walinishambulia mpk kidogo waning'oe macho.. nisione tena.. Kwa kuongezea na awe mchafu tena wa secto ya mwili na ndani ya nyumba..
 
kujua kupika mhimu sasa how sound mi kumzidi mdogo wako kupika,ila kwa mwanmke kujua kupika ni jambo la msingi

Unafanya nikumbuke honeymoon yangu ya miaka 3...nimekuwa na house girl baada ya kupata mtoto ambaye tulimpata miaka 3 baada ya ndoa...

Lakini tuliweza kukaa bila housegirl sababu mimi si mvivu na mume wangu hana u bossy wala masharti kama IMF....

Japo ndugu zake walikuwa wananisifia maana wakija home wanashangaa kila kitu kiko kwenye mstari na sina house girl....

Lakini sijawai msikia honey wangu akisema kanipenda sababu nachapa kazi; zaidi ya kusifia msosi naopika...kanipenda sababu penzi langu lilimzingua...ni mawifi na mama mkwe ndio walikuwa kutwa kunisifia...wanashangaa na elimu yangu hakuna kazi nisoijua...na wao ndio walikuwa wamekazana wifi tafuta house girl...kumbe walikuwa hawajui kuwa hatukuwa tunataka viwingu...tuna make love everywhere jikoni, sebuleni, chumbani....

Na mume wangu alikuwa ananisaidia..tunafua wote (those days machines zilikuwa anasa)...siku nyingine alikuwa anapika..maana anajua sana kukaangiza dagaa na mimi nimejifunza kwake...Mungu anipe nini...fuko la chawa....

Imagine mumeo anasema nimekupenda sababu unajua kupika...umeoa house helper? jamani wanaume jitahidini kuwa loving...punguzeni hizi attitude za list ya masharti

NIKIKUTANA NA POSTS KAMA HIZI NAZIDI KUMPENDA MUME WANGU...he is one in a million....and a million to me
 
msosi mzuri kila mtu anaupenda,hakuna namna nayopenda zaidi ya mapishi ya kawaida

Hapana best msosi mzuri kwako kwa mwingine mbaya,mfano mwingine akipiwa pilau hata liwe zuri vipi kwake anaona mbaya lakini wali mweupe hata usiwe na mafuta atakwambia ni mtamu sana sana,mwingine kuku wa kuchemsha kwake ndo mtamu sana wa kukaanga hata aweje kwake ni mbaya,mwingine maharage chukuchuku ndiyo matamu sana kwake wakati mwingine haragwe bila nazi si tamu kwake. Hope umenielewa,muelekeze mkeo wewe wapendelea nini na si kutoa lawama kwamba hajui kupika.
 
Unafanya nikumbuke honeymoon yangu ya miaka 3...nimekuwa na house girl baada ya kupata mtoto ambaye tulimpata miaka 3 baada ya ndoa...

Lakini tuliweza kukaa bila housegirl sababu mimi si mvivu na mume wangu hana u bossy wala masharti kama IMF....

Japo ndugu zake walikuwa wananisifia maana wakija home wanashangaa kila kitu kiko kwenye mstari na sina house girl....

Lakini sijawai msikia honey wangu akisema kanipenda sababu nachapa kazi; zaidi ya kusifia msosi naopika...kanipenda sababu penzi langu lilimzingua...ni mawifi na mama mkwe ndio walikuwa kutwa kunisifia...wanashangaa na elimu yangu hakuna kazi nisoijua...na wao ndio walikuwa wamekazana wifi tafuta house girl...kumbe walikuwa hawajui kuwa hatukuwa tunataka viwingu...tuna make love everywhere jikoni, sebuleni, chumbani....

Na mume wangu alikuwa ananisaidia..tunafua wote (those days machines zilikuwa anasa)...siku nyingine alikuwa anapika..maana anajua sana kukaangiza dagaa na mimi nimejifunza kwake...Mungu anipe nini...fuko la chawa....

Imagine mumeo anasema nimekupenda sababu unajua kupika...umeoa house helper? jamani wanaume jitahidini kuwa loving...punguzeni hizi attitude za list ya masharti
swala la mapishi ni ndogo sana anaweza kuwa busy pia na tukakutana wote jikoni kusaidiana,ila ndugu ni kitu kingine,nawaza sana hilo kwenye ndoa,mimi kama mimi najua yakufanya wazazi wangu wasiingilie mapenzi,ila sasa huo upande wa pili halafu wanawake wengi hawana sauti kwa ndugu zao
 
Msosi wa mchepuko una madiko diko ya kutosha ...mpaka unasahau njia kuu kama huwa inapika au inaleta take away.
Na yeye akipindua gari tu, mdogo mdogo anaanza kupunguza madikodiko maana msemo wa kuku ni wako manati ya nini uta-apply
 
Hapana best msosi mzuri kwako kwa mwingine mbaya,mfano mwingine akipiwa pilau hata liwe zuri vipi kwake anaona mbaya lakini wali mweupe hata usiwe na mafuta atakwambia ni mtamu sana sana,mwingine kuku wa kuchemsha kwake ndo mtamu sana wa kukaanga hata aweje kwake ni mbaya,mwingine maharage chukuchuku ndiyo matamu sana kwake wakati mwingine haragwe bila nazi si tamu kwake. Hope umenielewa,muelekeze mkeo wewe wapendelea nini na si kutoa lawama kwamba hajui kupika.
ila sidhani mtu mwenye akili kususia msosi wa mpenzi wake,ingekuwa mimi kwa jinsi navyompenda nisingeona hata mapungufu ya mapishi,ila sasa mbali na mapishi ukizinguliwa lazima uone msosi wa pande zingine ni mtamu
 
swala la mapishi ni ndogo sana anaweza kuwa busy pia na tukakutana wote jikoni kusaidiana,ila ndugu ni kitu kingine,nawaza sana hilo kwenye ndoa,mimi kama mimi najua yakufanya wazazi wangu wasiingilie mapenzi,ila sasa huo upande wa pili halafu wanawake wengi hawana sauti kwa ndugu zao

Sijakupata...ndugu wa mwanamke wanaingilia mapenzi?

Haiingii akilini...labda kama umeokota embe chini ya mfenesi...yani umeoa ukoo wa machangu...

Otherwise kiafrika ndugu wa mke hawawezi kuwa na sauti kwenye ndoa ya dada yao...never!
 
Back
Top Bottom